Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Ewaaa liver baba lao..Hahaha Mkuu Liverpool ni class haha... Sababu ni nyingi pia wakati Ligi ya EPL inanaza kuonyeshwa bongo timu zilizokua kwenye fire ni Manchester United, Arsenal wakaja Chelsea baada ya Roman kutua...
Kwa sasa Mkuu tunajizolea mashabiki wengi tu baada ya kumpata Klopp.
Mashabiki wa Manchester United hata vibanda umiza walishakimbia maana hata Watford anajichapia tu tena nyingi tu.
Wa Arsenal bado wapo kwenye laiti track kujenga upya kikosi baada ya kosea kosea za madirisha kadhaa ya ununuzi..
Liverpool kwa sasa ni kama Bugatti hahaha envy of many..
View attachment 2115709
YNWA
Na Robertson anasema lugha haipandi ki vile anaongea ki Spanish kiasi lakini uwanjani ni kama wanongea lugha moja..Upande wa Robbo na Diaz ulikua na amsha amsha kama vile wamecheza wote kwa msimu au misimu kadhaa.
Hii itamuamsha Mane.
Hahaha bado kijana yule usishangae akanyoa para tena.Umri unamruhusu
Anao muda wa kufanya makubwa...
Ka 98 lakini kanacharanga kona hako acha kabisa!
Sema kameniboa na style yake ya sasa ya nywele.
Kanyoe tu kama mwanzoHahaha bado kijana yule usishangae akanyoa para tena.
Cha msingi ma assist yaedelee kutua hakuna namna...
YNWA
Naona para la Fabinho.View attachment 2115622
Wooow huyu mwamba ni habari nyingine..
Ki ukweli ili tushinde makombe msimu huu lazima huyu dogo abakie ni mzima wa afya..
Anavyosoma mpira especially tukishambuliwa na especially kumsaidia Matip ambae jana mara kama 3 hivi alikua out of pace out position is just top level instinct by Fabinho..
Fabinho na Allison ndio kete ya ushindi wa makombe msimu huu.
YNWA
Lugha ya mpira ni moja kaka...Na Robertson anasema lugha haipandi ki vile anaongea ki Spanish kiasi lakini uwanjani ni kama wanongea lugha moja..
YNWA
Ohooo Matip ataona wivu ujue haha anajua you got eyes only for him...Naona para la Fabinho.
Sema jamaa handsome sana aisee.
We got Jota magoliLugha ya mpira ni moja kaka...
Space tu unaupitisha kwisha...
kabisa tukimpata na Carvaliho mambo yatakua moto sana...We got Jota magoli
We got Diaz
Future inakua solved window by window yaaani life at da dock town getting better for the fans huku upande wa Blue na Lampard wao ni majanga.
YNWA
View attachment 2115639
Diaz naona match day yupo jirani na Milner.
Milner anaongea ki Spanish powa kabisa hivyo ana jukumu la kumkaribisha dogo ajisikie yupo nyumbani kabisa na hakika performance ya jana imetuma ujumbe hajaja kua benchi warmer huyu... Mane Mane watch this space.
Street football kid. Design kama Bobby enzi hizooo. Mishe kama zote.
Ile jezi 23 hua sio ya masihara kabisa ni ya ma legends Carragher, Fowler, Shaqir, Emre Chan.
YNWA
Juni 2022 baada ya mkongwe Milner kusepa zake Leeds..Hiyo namba ya jezi,naona kama tutambadilishia tutampa namba 7.
Duu huyu Salah noma sana tukumbushane hajafunga goli karibia mechi 4 EPL sasa..
Bwana wee FSG wameona ubora wa Klopp kama kocha na bila ubora wa kikosi kipana watachokwa haraka sana na pengine kusikia FSG out ishike kasi...kabisa tukimpata na Carvaliho mambo yatakua moto sana...
msimu ujao