Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Nathaniel Phillips aliongeza mkataba mwaka jana mpaka 2025 na mshahara wake ulipanda mpaka £64,000 kwa wiki. Na ndio maana Liverpool hawana presha kumuuza mpaka pale bei ina maslahi hivyo hata Juni 2022 itategemea kama ofa itakua na maslahi. Kwa sasa bei yake ni £8m to 15m.Mishahara ya wachezaji wanaotarajiwa kuondoka msimu huu wa joto, (takriban Takwimu): Phillips: Pauni 19,000 N. Williams: £9,000 Adrian: £63,000 Karius: £65,000 Minamino: £72,000 Asili: £82,000 Milner: Pauni 150,000 Pauni 395,000 kwa wiki kutoka kwenye bili ya mshahara.
Uwe na maneno ya staha basi Kijana. Ficha utoto wako na uonyeshe ukomavu wakoNyie matakataka mutamaliza nje ya top four msimu huu. Hamuna timu ya kuleta ushindani mbele yetu.
#CFC💙💙💙
Hakuna mtu anayeita wenzake takataka au vichaa halafu akawa sensitive na lugha chafuMwambie mkuu OllaChuga Oc Ni mtu ambae huwa anatufurahisha tu, sasa anaingizaje matusi ya kumtukania mama? Challenge nikawaida kwenye mpira.
Hilo haoni kabisaUwe na maneno ya staha basi Kijana. Ficha utoto wako na uonyeshe ukomavu wako
Naona na Kipara anaweza kuingia kwenye mbio za kumnasa haha...Naona Fabio Carvalho alimuadhibu Kipara dakika za mwanzo kabisa, Ila wameshasawazisha.
Akitua tutatisha sana, Tuombe tu Pep asiingile dili kati akaharibu mipango.Naona na Kipara anaweza kuingia kwenye mbio za kumnasa haha...
Klopp kasema wanafanya kila jambo dogo atue Anfield Juni 2022 yaaani huyu wanae aisee.
YNWA
Kipara hachelewi kumpa dogo ofa ya £150k kwa wiki na hapo biashara itakua imekwishaaaaaa...Akitua tutatisha sana, Tuombe tu Pep asiingile dili kati akaharibu mipango.
Elliott kapiga goli contender ya goli bora la FA Cup msimi huu aisee damn....FA CUP
LIVEEPOOL 3 CARDIFF CITY 1
Elliot amerudi wa moto sana mazee, katupia na goli. Yule Diaz nae ni mtu na kilo za kutosha kabisa. Ametoa pasi ya mwisho na Minamino akaitia kambani
Jota kama kawada yake katupia moko kwa kichwa klosi ikipigwa na TAA.
Zaidi ya yote hii game ni kama mazoezi tu kwa timu zinazopaki bus!
#YNWA
Nilipomuona yuko kwenye benchi nilitarajia anaweza kupata dakika 10-15 ili kumrekebisha na arudi kwenye ubora wake akapata mpira mara mbili na alionekana ana control nzuri na bao lilikuwa zuri. Pia alionekana kutoogopa na hakuonekana kuwa na wasiwasi wowote kuhusu kuuniza jeraha lake. Anyway tunafurahi karudi akiwa kwenye ubora wa huu.Elliott kapiga goli contender ya goli bora la FA Cup msimi huu aisee damn....
Ile positivity aliyooshe leo dogo huyu Elliott ni high class aisee...
Diaz ndio kumekucha baada ya drill kadhaa huyu atakua moto sana.
YNWA
Konate ni Zuma aliyechangamka.
Ilikuwa Sub ya mauaji hii