Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gini alikuwa fiti Sana jamaa
Kwanza ni moja ya wachezaji wenye skills za mpira nyingi mguuni.
Mimi naona aliondoka ili kutafuta mshahara mkubwa zaidi lakini bado anaipenda Liverpool moyoni kabisa.

Nakumbuka jinsi alivyokuwa anakaba kimabavu Sana..

Tutamkumbuka Sana..
 
I love this👏👏
Hii nimeielewa mku👍
 

Pale Chelsea kuna timu sasa
 
Exactly mkuu✊✊
 
Chelsea kapakatwa huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hahahahaha yereee ..sisi ndio Chelsea sasa ..tukishalikwapua Hilo li carabao happy Wembley Basi kifuatacho ni hii FA ..Kuna takataka inaeza katiza mbele yetu? ..leta liverkuku, leta man shitye, arse8 na mbanga yeyote Ile tuile kichwa ..piigaaaa keleleeeee.

Ninyi liverkuku munaweza kukipiga Hadi dakika ya 120 uko na mukashinda?

#CFC💙💙💙
 
Happening Now.. San Siro shaking

Wakuu naangalia mechi ya Inter Milan vs Ac Milan...

Kumbe hawa Inter Milan pamoja na kuodoka Lukaku na Conte bado wapo motooo mbaya...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…