Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha ebu tema mate chini ulimi umeteleza Salah akwede wapeeee haha huyu ni wa hapa hapa hapa ohh man that my wish though...Huyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
Klop ndo usajili wetu wa mda nguvu tulioufanya yaani jamaa anabadili wachezaji wa kawaida wawe monsters. Gini liver ndo ilimfanya akaonekana ameondoka kwa kiburi sasa yanamkuta, rejea kwa cotinho mpaka sasa anahaha kutafuta momentum aliyokuwa nayo liver bado haipati, amri can nae vivyo hivyo.Hahaha ebu tema mate chini ulimi umeteleza Salah akwede wapeeee haha huyu ni wa hapa hapa hapa ohh man that my wish though...
Tuseme tu Klopp is the system... Klopp fundi aisee.
YNWA
ExactlyHuyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
Kwa Gini binafsi nilisema bora alisepa maana mchango wake ulikua haudhaminiki kabisa na FSG .. Haileti picha alizidiwa mshahara na almost MF wote akina Thiago, Henderson, Ox, Keita, Milner nk pale Liverpool huku muda mwingi wakiwa mezani kwa daktari huku yeye akiwa uwanjani kupambana kwa sababu ya timu na akilipwa pea nuts.. Kinachomkuta PSG ni kigeni kwake japo alisema yeye ni fighter atapambana kuisaka namba na kila akipata nafasi kucheza basi ataitendea haki..Klop ndo usajili wetu wa mda nguvu tulioufanya yaani jamaa anabadili wachezaji wa kawaida wawe monsters. Gini liver ndo ilimfanya akaonekana ameondoka kwa kiburi sasa yanamkuta, rejea kwa cotinho mpaka sasa anahaha kutafuta momentum aliyokuwa nayo liver bado haipati, amri can nae vivyo hivyo.
Hili ni onyo kwa salah asije akaharibu kufikiria kuondoka liver atasahaulika kwenye ramani mapema
heard summer ataondoka freeBwana wee logistics zilikua mtihani kiasi..
Ngoja tusubiri Juni 2022 taarifa ni kwamba mkataba wake upo tayari na dogo alishakumbali na hii pia ni kutokana na Klopp kuwapa vijana nafasi kama vile TAA, Jones, Kelleher na msimu huu Elliott hivyo inampa picha akijutuma kumbe kupata namba kikosi cha kwanza uwezekano upo..
YNWA
that mentality vs Arsenal semi final carabso cup... i wish to see that indeed.Super focus maintaining good discipline especially when leading with 1 goal difference...
Compact MF and solid Defence will sail us through safely to winning cups...
YNWA
Yeah mkataba wake ndio unaisha lakini sio bure kwa vile wamemkuza wenyewe wapo entitled kupewa mkono wa asante.. Makumbaliano ilikua walipwe £5m plus adds on ingefikia around £8m na Fulham walishakumbalina na dogo pia alishakumbali na ili kuweka mambo sawa Liverpool wakawapa dogo Neco Williams kwa mkopo ili ku seti mambo ya kumnasa Carvalho...heard summer ataondoka free
Kabisa winning mentality muhimu sana kua na believers kupambana mpaka kipenga cha mwisho hakuna namna aisee...that mentality vs Arsenal semi final carabso cup... i wish to see that indeed.
Sioni dogo akichomoa kwa Liverpoolya Klopp... anyway itategemea na agent wake na shauku ya timu anayotaka future targets zake n.kYeah mkataba wake ndio unaisha lakini sio bure kwa vile wamemkuza wenyewe wapo entitled kupewa mkono wa asante.. Makumbaliano ilikua walipwe £5m plus adds on ingefikia around £8m na Fulham walishakumbalina na dogo pia alishakumbali na ili kuweka mambo sawa Liverpool wakawapa dogo Neco Williams kwa mkopo ili ku seti mambo ya kumnasa Carvalho...
Ni suala la muda.
Japo hatupo peke yetu wapo pia Barcelona, Dortmond, Sevila, Manchester United, Tottenham Nk wanamnyemelea kimya kimya
YNWA
I feel sorry for himWho coul have predicted this.
Gini alikua mchezaji wa kwanza match day squad Liverpool. Mpaka anaodoka ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi sana chini ya Klopp na tunajua sio kwa bahati mbaya maana dogo hakua anaumia mara kwa mara. He was Mr. Fit.
Sasa haya uwezekano atatemwa kikosi cha PSG kushiriki Uefa ni ngumu kumeza kwake..
View attachment 2106388
In life some situations are unpredictable, dudes watch what you wish for...
YNWA
And that is klopp’s gameHuyu kiwango chake kilikuwa cha kawaida tu, team work ilimbeba, sasa timu ka PSG au Madrid zinategemea uwezo binafsi wa mchezaji, mastaa kibao...
Klopp kocha, liverpool inawachezaji wenye uwezo wa kawaida sana ila wanaperform vizuri, hata Salah akiondoka yatamkuta haya haya
You can say that again sirHahaha ebu tema mate chini ulimi umeteleza Salah akwede wapeeee haha huyu ni wa hapa hapa hapa ohh man that my wish though...
Tuseme tu Klopp is the system... Klopp fundi aisee.
YNWA
Gini issue was different… hey refused his requestKlop ndo usajili wetu wa mda nguvu tulioufanya yaani jamaa anabadili wachezaji wa kawaida wawe monsters. Gini liver ndo ilimfanya akaonekana ameondoka kwa kiburi sasa yanamkuta, rejea kwa cotinho mpaka sasa anahaha kutafuta momentum aliyokuwa nayo liver bado haipati, amri can nae vivyo hivyo.
Hili ni onyo kwa salah asije akaharibu kufikiria kuondoka liver atasahaulika kwenye ramani mapema
Perfect!!!Kwa Gini binafsi nilisema bora alisepa maana mchango wake ulikua haudhaminiki kabisa na FSG .. Haileti picha alizidiwa mshahara na almost MF wote akina Thiago, Henderson, Ox, Keita, Milner nk pale Liverpool huku muda mwingi wakiwa mezani kwa daktari huku yeye akiwa uwanjani kupambana kwa sababu ya timu na akilipwa pea nuts.. Kinachomkuta PSG ni kigeni kwake japo alisema yeye ni fighter atapambana kuisaka namba na kila akipata nafasi kucheza basi ataitendea haki..
Coutinho duuh Barcelona walitaka awe like for like kwa fundi Andres Inesta kumbe ni wachezaji wawili tofauti kabisa lakini pia mfumo ulimkataa pale Barcelona. Ngoja tumuone chini ya Steve G anaetumia 4 3 3 kama ya Klopp kama atarudisha makali...
Kwa Gini aisee any day of the week huyu mwamba alitakiwa abakie pale pale Anfield hao wengine senior MFs wangesepa tu excluding Fabinho...
Mpira bhana sometimes una matukio ya kuchanganya sana tazama Gini alinyimwa mkataba wa miaka 3 na angalau mshahara ufike £120k mpaka £150k lakini klabu hii hii wamekua wakiwapa nyongeza ya mishahara na mikataba Milner na Henderson 😀😀😀duniani zali la mentali ndio hizi...
Tetesi walimpa Gini mkataba wa miaka 2 na mshahara wa £100k kwa wiki akagoma ku saini. I support the boy kwa umri wake pengine ule ndio ulikua mkataba wake wa mwisho wenye maslahi kwake, Lakini pia alikua determined kufanya kazi na Koeman sijui ni mshahara mnono au taarifa ipi ilimvuta PSG na sio Barcelona...
In the meantime....
Ki ufupi tuna bahati sana ya kua na Klopp na pia ku collapse kwa masoko yetu kuu Real Madrid na Barcelona otherwise mpaka sasa sina uhakika kama Mane na Salah bado wangekua hapa hapa Anfield..
Nafarijika kuona Liverpool ya sasa sio tena stepping-stone ya wachezaji kutua hapa kusaka masoko kwingineko mbali sasa wanajua vyema mafanikio yanapatikana hapa hapa Liverpool...
Liverpool imekua na mvuto kwa wachezaji wengi kujiunga nasi na hii kutokana na Klopp pia ametupaisha parefu sana. Wachezaji wengi waliosajiliwa hua wanasema Klopp factor ilimsaidia kufanya maamuzi kujiunga nasi.. Hata hawa waliongeza mikataba mwaka jana Juni 2021 VVD, TAA, Allison, Fabinho, Robertson wanasema Klopp factor na uhakika wa kupambana UCL, EPL nk
Wamepita wengi Liverpool kwenda kusaka mafanikio kwingine wapi akina Coutinho, Surez, Torres, Fabio Aurellio, Sterling, Raul Mereleis nk
Kwa sasa fununu ni kwamba Firmino, Mane au wote kuna safari kuuzwa Juni 2022 hii kutokana na Klopp kupanga kufanya mapinduzi kikosini kwa ajili ya kupanga continuation ya mapambano..
Asante Klopp kwa kurudisha heshima yetu.
YNWA
Gini mchezaji wa kawaida sana...And that is klopp’s game
Kama ni individual talent, Henderson angekua gwambina
Gini went to the wrong team
Kusema alikua wa kawaida ni kauli ya hovyo
Truly i missed himWho coul have predicted this.
Gini alikua mchezaji wa kwanza match day squad Liverpool. Mpaka anaodoka ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi sana chini ya Klopp na tunajua sio kwa bahati mbaya maana dogo hakua anaumia mara kwa mara. He was Mr. Fit.
Sasa haya uwezekano atatemwa kikosi cha PSG kushiriki Uefa ni ngumu kumeza kwake..
View attachment 2106388
In life some situations are unpredictable, dudes watch what you wish for...
YNWA
What a boy down to earth fighter, followed Klopp directions with utmost dedication...Truly i missed him