Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi siyo wachumba wa Liver...

Huyo city tunammudu ni suala la muda tu kabla hatujamfukuzisha kipara kazi kwa kipigo cha aibu.
Wangekua ni wachumba kwenu mngepigwa in and out? Shame on you.
 
Ndio visingizio mlivyo baki navyo, mnamuachia wakati mlijinadi mnachukua EPL [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunachagua makombe ya kuchukua. We ujile match 38 wakati Kuna match 12 tu ambazo zinakupa kombe Lina heshima kuliko hizo 38?
 
Ninyi matakataka vichezaji vyenu vyitatu vyilipata korona mukaishia kuairisha mechi🤣🤣🤣 ..mungepatwa na wachezaji karibu tisa kama sisi Chelsea..nina uwakika hii timu ingeisha jiondoa epl.
Sisi wanaume pamoja na majanga yote hayo bado mbungi linapigwa kama kawa na Leo angalieni tunamnywa supu bila kumchemsha huyu Brighton.
#CFC💙💙💙
 
The rise and fall of OllaChuga Oc
Soon utarudi kwenye machimbo yako
 
Huna uwezo wa kumfunga Brighton jiadae kukimbia humu kama kawaida yako.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…