Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tofauti ya Henderson, Milner na Jones, Ox na Takumi ni kwamba hawa vijana ni forward thinking muda wote wanawaza kupeleka mashambulizi mbele hivyo kuwa pin wapinzani kwenye half yao hata pale tukipoteza mipira kwa vile tunakua upande wa upinzani basi fasta tunakua aggressive ku press na kupata mipira muda mwingi jana hii ndio mbinu ilitumika kwa Brentford hawakupata muda kupanga mbinu za kutuumiza tofauti na ile mechi ya nyumbani kwao we were all over the place...

Tunavyocheza high line back line kama hii ya Klopp silaha kuu ni kutopoteza mipira hovyo ili kupunguza kaunta na presha kwa Fabinho na back line. Na pale tunavyo misplace pasi immediately wachezaji wanakua chap ku react to win back the balls..

Gemu ya Arsenal we were bossed pale kati hatukua progressive enough kuwa press Arsenal. Decision making was poor yaaani.

Jana Jones na Ox Chamber were the difference.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…