Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya kipigo cha jana Norwich ilikungua ngumu kumeza.

Sasa ndio utaona yule kocha wao wa muda Duncan Ferguson atakavyomsha hawa jamaa utegemee ushindi tu.

YNWA
Duncan huwa ana vibe mno.

Everton players nadhani walishindwa ku cope kumpoteza Carlo.

Carlo anakuaga na father-son relationship na wachezaji.

Rafa ni completely the opposite.
 
Tulimpaga u interim pale darajani akatupa EUROPA.

Perhaps the least popular coach to Chelsea faithful
 
Duncan huwa ana vibe mno.

Everton players nadhani walishindwa ku cope kumpoteza Carlo.

Carlo anakuaga na father-son relationship na wachezaji.

Rafa ni completely the opposite.
Kabisa ndugu tetesi ni kwamba alitengeza makundi ndani ya klabu na akaanza kuja kivingine ionekana kana kwamba karidhi matatizo yote walionayo pale Everton..

Bodi ya Everton ipo tatizo lakini na yeye angejiongeza kwa wachezaji waliopo apambane. Sasa subiri wampe Ferguson hii timu uone ule mzuka wake kama watafungwo kirahisi...

Benitez Everton was never meant to be.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…