Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha Kipara anasema kama ela ipo itumike hakuna namna ukweli hata Norwich wangekua na Mansour mbona wangekua mabingwa tayari... Mpira wa sasa ni pesa hakuna kingine kusubiri vitoto vya academy kama zamani haipo..

YNWA
Sisi liverpool tunajiona mashujaa ndugu zake Yesu mtenda miujiza[emoji23][emoji23][emoji23]akiyanani!
 
Kabisa mkuu FSG out hawawezi kutufanya kila siku tuwe na majonzi sisi kwani nani hataki ubingwa? Angalia tunazidiwa hadi na Aston villa!
 
Kabisa mkuu FSG out hawawezi kutufanya kila siku tuwe na majonzi sisi kwani nani hataki ubingwa? Angalia tunazidiwa hadi na Aston villa!
Aston Villa wanantaka Bissouma duuh itakua bonge la MF tazama 6 acheze Bissouma, 8 acheze Buedia na 10 acheze Coutinho pale mbele 9 yupo Watkins yaaani jamaa watakua na timu murwa sanaaaaa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…