Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Et Chamberlain ndio Right winger [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii timu sometimes inachekesha๐Ÿ˜‚
Mimi nawalaumu wenye timu,,hivi wanadhani kuna muujiza utatokea kwa kuendekeza ujinga wa kutopanua kikosi๐Ÿšฎ
 
Misim mitatu hujasajiri alafu utake performance nzuri ya wachezaji siniuzwazwa huo?
Ndio hapo ndugu...

Ngoja kesho Mbuemo na Tony wana jambo lao sijui atasingizia nini aisee..

Hakuna progress bila kusaini wachezaji muhimu pale dirisha linaluhusu ajabu wa FSG niliona 2021 January yaaani walinzi wetu muhimu wapo mahututi lakini badala wanunue wachezaji wa maana tukaletewa Kabak na Davies vituko vya karne kwa hali mbaya tuliokua nayo... Nilichojifunza ni kwamba FSG wanaamini Klopp anauwezo kuleta mafanikio akiwa na kikosi chochote kile bila kuzingatia ubora wa wachezaji wanaonunua ndio maana hawa FSG hawajali sana mambo ya kununua wanachojua Klopp ana miujiza ya kuwafanya hata mediocre players kama Henderson kua World class haha.
Klopp pia ni binadamu ana limits zake pia.

FSG out hakuna namna.

YNWA
 
Kumbe Klopp kuna muda anakuwa vyombo eeh huyu mzee!๐Ÿ˜’
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Noma sanaaa...

Klopp is very loyal and weak anapenda kumfurahisha kila mchezaji yaaani hana mkono wa chuma design kama Fergie au Thomas au Pep...

Ndio maana hata attitude ya baadhi wachezaji is questionable wewe tazama tu kwa uchache Salah, Mane, Henderson, Milner, Robertson wana mentality fulani kama wana hati miliki na namba zao yaaani haijalisha hata sub zingine wanapewa tukiwa tumeshinda lakini ile attitude hua wanaonyesha ni walakini.....

Tuna safari ndefu sana.

YNWA
 
Kwamba Klopp ni baba miujjza!Mungu anawaona.
City wanatupiga bao kwa sababu kipara akichanganya ufundi wake na ukubwa wa kikosi basi kinachofuata ni ushindi.
Sisi wetu wanataza muujiza..jinga hawa๐Ÿšฎ
 
Hapa huyu mzee ndipo alipopigwa bao na mwenzie kipara
 
Kwamba Klopp ni baba miujjza!Mungu anawaona.
City wanatupiga bao kwa sababu kipara akichanganya ufundi wake na ukubwa wa kikosi basi kinachofuata ni ushindi.
Sisi wetu wanataza muujiza..jinga hawa๐Ÿšฎ
Hahahaha Kipara anasema kama ela ipo itumike hakuna namna ukweli hata Norwich wangekua na Mansour mbona wangekua mabingwa tayari... Mpira wa sasa ni pesa hakuna kingine kusubiri vitoto vya academy kama zamani haipo..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ