Jaman hizi tetesi za kumtaka Diaz wa Porto Zina UKWELI?maana tunaambiwa tuko mbioni kumchukua,[emoji1787]ths January...
Basi wampe mkataba wa mwaka mmoja mmoja😀😀Uko sahihi mkuu,hii pia anaifanya origi muda wa mkataba Ukifika tu kila mechi atafunga baada ya hapo utakujakumsikia tena.
Huyu Arudi tu aise.
Huyu Arudi tu aise.