Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😂😂😂😂
 
Hahahaha kweli huyu ndie new OG Wenger wetu na tunae mpaka 2024.

Wale waarabu wa Newcastle na mpunga ule wangetua kwetu mbona kipara angehamia MLS chap sana maana tungekwenda jino kwa jino. Nimeona wale waarabu wanapeleka ofa Inter Milan duuh

Yaani eti tunavizia free players akina Zakaria, Kessie nk ndio kumfukuza Manchester City is ridiculous.

Kazi ipo.

YNWA
 
wenger baada ya kupata mafanikio na kikosi chake 2003-04, kikosi kikazeeka akawa anaintroduce vijana akidhani atapata kina viera na henry wapya ( ndio ya kina morton, jones, Elliot, williums anayofanya klop) wenzie wakawa wanasajili watu wa maana akajikuta mtu wa top4 tuu, klop alijua kuna covid, afcon, watu kushuka form akajidai nunda tuu no kusajili , alipoanza kushindashinda watu wakatubeza tuliokua tunapinga swala la kutosajili, sasa matokeo yake saivi tuna timu ya milner, hendeson, morton against spurs ugenini, hapo mane, salah washaenda Afcon
 
Hivi kwani hakuna sifuri ?
Huyu Henderson ilitakiwa apate zero..asipate chochote.
Kwanza ilitakiwa awe kwenye negative kabisa.
Hahaha ile kukimbia uwanjani huku na kule nako anapewa pointi...

Jana tulizidiwa kila idara pass accuracy, ball possession, shot on goal, touches inside opposition goal area, corners, dangerous moves nk.

YNWA
 
Hahaha ile kukimbia uwanjani huku na kule nako anapewa pointi...

Jana tulizidiwa kila idara pass accuracy, ball possession, shot on goal, touches inside opposition goal area, corners, dangerous moves nk.

YNWA
Nashangaa amekimbia kimbia tu na ameigharimu timu halafu wamempa na 3!
Wanampaje tatu huyu !au wanamuogopa sana!

Yaani zile corner aisee...pale mwisho zile corner zingezaaa matunda ningewalaumu sana waliozisababisha.

Jana tulikuwa watu wa hovyohovyo tu..yaani kule mwisho hata mpira tuliacha kugusa kabisa,ulikuwa unacheza miguuni kwa chelsea tu.
Macoacher wapo nje wanakunja na kukunjua tu sura zao.

Mechi ya hivi siangalii tena,itaniuwa kwa presha bure.
 
Ubingwa sahau na top four usipokuwa makini utatolewa tu.
The race is between Man shityee na mabingwa watarajiwa Chelsea.
 
Kwa hiyo nyie matakataka Jana mukaingia kwa kujiamini kabisa mutashinda mbele ya mabingwa watarajiwa ..baada kupata tugoli tuwili Basi mukaona mumemaliza kazi.
 
Sikilizeni nyie matakataka. Sisi ndio Chelsea, musije na matokeo yenu mfukoni Tena.
Waambieni hao City na takataka zingine zinazofuata hapo nyuma wajipange maana sisi hatuna muda wa kupoteza Tena.
Mumeona ratiba yetuya hii January? Sasa mbanga zote sisi tutazila vichwa.
 
Usijari mimi mwarabu nimesikia maombi yenu nakuja kuinunua liverpool sasa [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…