Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liver hana mF ya kueleweka huwezi kukubali hili.

Ndioo maana TAA ni beki ila ana mchango mkubwa kwenye magoal tenu kuliko hao watu wenu wa kati unaowasifia.
Sasa subiri nao warudi utaona.
Unadhani Trent ataweza cheza pekeyake na kushinda bila msaada wa wengine?!?
 
Kwani ni mara ya kwanza Mendy kudaka match ya man city? na tukashinda?

Uwe unaangalia mpira
 
Roho ilimuumaje jamani!
Anashangaa mpira uleee.
Btw jamaa uwezo mkubwa,kipindi cha pili alifight sana


Sasa imagine hawa matakataka wa OllaChuga Oc wanaenda kucheza bila huyu jamaa,,,hili timu linaenda kufia mbele.
Wewe subiri tu... Me ntakukumbusha hao kina salah na mane wana umuhimu gani.

Wenzako wanaelewa kitakachowapata.
 
Si tulikuja mkashindwa kutunyoosha?

Hivi ulikuwa hujazaliwa wakati tupo 10 uwanjani na mkashindwa kutufunga?
Tunaongelea mechi za sasa..hatuongelei mechi zilizopita miaka ya MWALIMU.

njoeni sasa muone kazi yetu[emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…