Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Clearance kama aliyofanya ake ,alishaifanya stone vs liverpool ...tukatoka na ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Clearance kama aliyofanya ake ,alishaifanya stone vs liverpool ...tukatoka na ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bwana wee ile clearance kwenye mapitio matukio yaliowapa ubingwa ile clearance ipoooo....

Inanikumbusha clearance moja matata sana alifanya Allison mechi dhidi ya Napoli Champions League na mwishowe tukawa mabingwa.

YNWA
 
Nyie kuku leo tunawachemsha na kuwanywa supu mkiwa hiv iv hai hatuna haja ya kuwachinja ..ni kuwakamata kisha jikoni ..mpaka mnaiva tunawala ivyo ivyo leo. Sisi ndio Chelsea sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenge linarukaruka kwenye maji, subiria ikifika saa moja na nusu liver anavunja daraja halafu anachomoa kenge mmoja mmoja mpaka wafike kenge 6.
 
Anyway next game ya Chelsea ni v/s Man City
Pazuri sasa leo darajani tuchomoke na pointi 3 muhimu sana.

Hii itasaidia sana next game ya Kipara kupendeza wamalizane wenyewe mara pap apigwe ama sare haha kwa hali imekua mbaya mpaka tunaanza ramli..

YNWA
 
Pazuri sasa leo darajani tuchomoke na pointi 3 muhimu sana.

Hii itasaidia sana next game ya Kipara kupendeza wamalizane wenyewe mara pap apigwe ama sare haha kwa hali imekua mbaya mpaka tunaanza ramli..

YNWA
Hata tukimfunga City hamtamkamata, city akikutana na hizi timu ndogo anawakung'uta kweli kweli na mtaji wake wa ubingwa uko hapo
Wewe mara umedroo na Brighton mara um,efungwa na Lei next mara utafungwa na Aston Vila. Yeye wakipita au akiwafuata kwao anaondoka na 3
 

Mkuu round ya pili mechi zinakuwa ngumu sana hata hao wafungaji hawatakuwa Na huwezo wa kufunga idadi ya magoli waliofunga round ya kwanza,mara nyinyi inakuwa ushindi wa goli moja moja tu.

Mechi Na leicester sikushangaa sana kufungwa maana round ya pili naijua Vizuri,ndio maana unasema city pumzi imekata idadi ya magoli imepungua, hiyo ni kawaida sana kwa round pili,ndio maana round ya kwanza unatakiwa uwe juu hapo kwa point nyingi ili ujiakikishie ubingwa,

Sasa hivi ugumu wa mechi utakuwa Kwa kila timu sio city tu.timu nyingi zilikuwa bado hazijaanza mechi Za round ya pili.
 
City hata pumzi ikikata unadhani Liver au chelsea kuna mwenye consistency ya kuwafikia? akidrop nao watadrop tuu, akishinda wao wanadrop, kifupi kila msimu unapoanza bingwa ni Man city untill it proved otherwise
 
Confirmed News..

Klopp out with the below boys..

Alisson, Roberto Firmino and Joel Matip have been ruled out of Liverpool’s Premier League match at Chelsea, live on Sky Sports, after returning suspected positive Covid tests.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…