Relax.DullyJr Happy 2022.
Nipe zawadi ya sikuku leo mzee baba fanya kweli huyu bwana mzimeni.
Nia ipo uwezo upo ebu tupeni raha.
YNWA
Woow what a game.Relax.
Kuna jitu nalishughulikia huku
Happy New Year.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Long time Klopp mbona angeshaweka hati miliki na EPL trophy...Klopp angekuwa Kocha wa Chelsea au Manchester United zenye Bajeti nzuri ya Usajili angemhamisha Kipara kwenye EPL akampeleka PSG.
Vp matokeo yameishaje?Relax.
Kuna jitu nalishughulikia huku
Happy New Year.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Klopp angekuwa Kocha wa Chelsea au Manchester United zenye Bajeti nzuri ya Usajili angemhamisha Kipara kwenye EPL akampeleka PSG.
Mkuu kama unaangalia mpira then unasema hayo matukio mawili huyaelewi basi acha kupoteza muda kufuatilia mpira ....Woow what a game.
Again VAR inatoa majibu ya kuchanganya hawa jamaa yaaani unajiuliza Odegard sio penati lakini ya Bernardo ni penati..
Hongereni sana kwa kumpa kipara a real game. Ilikua burudani tosha.
Keep up the good work mtakaa powa sana going forward.
YNWA
Kwahiyo yule dogo wa arsenal hakuchezewa rafu au ?? Usijitie ufahamu leo city kabebwa kabisa waziwazi maana ile penalty ya silver ilikua ya mchongo kabisa jamaa alijiandaa kudondoka kabisa... Anyway mmeshinda yashapita...Mkuu kama unaangalia mpira then unasema hayo matukio mawili huyaelewi basi acha kupoteza muda kufuatilia mpira ....
Penalty ya arsenal imeangaliwa mara mbili kila mtu kaona kabisa ....
Kuvutwa shati kwa bernado kila mtu kaona kabisa ...[emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe unastress zako tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwahiyo yule dogo wa arsenal hakuchezewa rafu au ?? Usijitie ufahamu leo city kabebwa kabisa waziwazi maana ile penalty ya silver ilikua ya mchongo kabisa jamaa alijiandaa kudondoka kabisa... Anyway mmeshinda yashapita...
Stress za nini?? Tena hahahhahahahah ngoja tukikutana ndo utajua hujui...Wewe unastress zako tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna lingine pole Sana
Kamfunge kesho kwanza Chelsea harafu ndio uanze hesabu za kuja kuachia point 3 Etihad.....Stress za nini?? Tena hahahhahahahah ngoja tukikutana ndo utajua hujui...
YnwA
Pazuri ni kama kipara sasa upepo unaanza kata vile zile shinda goli 4+ hakuna...Mkuu kama unaangalia mpira then unasema hayo matukio mawili huyaelewi basi acha kupoteza muda kufuatilia mpira ....
Penalty ya arsenal imeangaliwa mara mbili kila mtu kaona kabisa ....
Kuvutwa shati kwa bernado kila mtu kaona kabisa ...[emoji28][emoji28][emoji28]
Duu, tena hivyo dada, mimi nimeongea kwa takwimuBoovu timu lako
Saizi yenu mbweha wale wa RoggersHalijaizidi manchester united
Wale ni zaidi ya nyumbu.
Wa kunisumbua hapa ni city tu!
Wengine wote kapambaneni na mitimu yenu mibovu.
Hii comment ungeitoa kule homeGame ya kesho kutwa ninamashaka nayo sana, kumtegemea alonso na azp kesho kutwa ni kazi sana,