Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnaongea Viingereza kibao Kama kichaa msomi ,, lakini kichapo kipo pale pale ..[emoji23][emoji23]
 
Mkila kichapo mnaenda kujifungia kwenye mabox ...mnakimbia Uzi ... plastic fans nyie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Njooni muone Leo tunavochukua point 3 kiulaini .....Kama mnaweza kututoa pale juu njoon [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Oyaaa amkeni basi mnalala mpaka saizi mna raha gani nyie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nyie kuku wa anfield simnasemaga mnaenda kuchukua epl na CL au mmesahau kudadeki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jana Alison akaamua kwenda kufunga mwenyewe ,akadhani yeye ni orig 90+3min [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]lakin lecister wakawakaba mbavu kweli kweli ....mlikuwa mnatapatapa kama wafia maji tu
 
Mliyoyaona Jana ndio real meaning of football that hata kama uwe Bora kiasi gani ,siku ukikutana na mwendawazimu basi utapikiga ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jana Salah akapewa penalty lakin wapiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....

ile match imeonesha kuwa nyie m autafuta ubingwa wa epl lakin epl haiwataki .....

Kwa Yale mashoot ya Salah kwenye penalty Kuna mtu angetegemea kukosa [emoji28][emoji28][emoji28] Bado akamaliza na kichwa ngoma ikagonga post [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuku ni kuku ....Jana mlikosa kitu kimoja tu " akili " vingine vyote mlikuwa navyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kingreza chenyew tushakizoea uku ata walev wanakibonga2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nyie njooni tuyajenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom