Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Kumbe mnamuogopa???Mkuu sisi Chelsea linapokuja suala la kombe huwa hatuna cha kupoteza. Fainal yeyote ile tukikutana na nyie basi mjiandae kisaikolojia. Tukishamkamata yule Salah nani mwingine atafunga? Sisi ndio Chelsea bwana..
[emoji847][emoji2960][emoji91][emoji91]Cc Saint Anne.
YNWA
Sio nyie tuliwachapa kwenye uefa supercup!Mkuu sisi Chelsea linapokuja suala la kombe huwa hatuna cha kupoteza. Fainal yeyote ile tukikutana na nyie basi mjiandae kisaikolojia. Tukishamkamata yule Salah nani mwingine atafunga? Sisi ndio Chelsea bwana..
@OllaChuga Oc lete hilo lichelsea lako tulichakazeView attachment 2054913
Wameshapona Tarehe 28 watakwepo.
Wewe utakuwa na matatizo ..kwamba liverkuku Hii nitakupa nini cha muhimu adi usiwe na mpenzi? Au wewe siyo rizki mkuu..Kwa Liverpool hii sioni haja ya mimi kuwa na mpenzi.
Hahahaha hao takataka tu wewe njo kwa kujiamini tukuchakaze ..kwani game ya kwanza apo anfield ilikuwaje? Ci walikuwepo? Walifanya nini? Tena tulikuwa pungufu. hehehe!!@OllaChuga Oc lete hilo lichelsea lako tulichakaze
Ile Chelsea yenye wachezaji wa academy siyo. Kutana na hii ya sasa UFE.Sio nyie tuliwachapa kwenye uefa supercup!
Njooo njoo njooHahahaha hao takataka tu wewe njo kwa kujiamini tukuchakaze ..kwani game ya kwanza apo anfield ilikuwaje? Ci walikuwepo? Walifanya nini? Tena tulikuwa pungufu. hehehe!!
Mnaogopa kweli km kocha wenu anaforce kina Salah wabaki Hadi hyo game y Chelsea [emoji1787]@OllaChuga Oc lete hilo lichelsea lako tulichakaze
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa na matatizo ..kwamba liverkuku Hii nitakupa nini cha muhimu adi usiwe na mpenzi? Au wewe siyo rizki mkuu..
Kwamba Tuchel akiulizwa awepo golini Kepa au Mendy atasema Kepa mhmhmh..Mnaogopa kweli km kocha wenu anaforce kina Salah wabaki Hadi hyo game y Chelsea [emoji1787]