Na hiyo ndo inavyotakiwa, hata yule Rangnick wa utd anaonekana faru kwelikweli sizani Kama ronaldo atajaribu umachinoo pale.Upo sahihi sio tu wachezaji pale Ethad Pep aliwachomoa jamaa zake wengi tu kwenye management kutoka Barcelona..
Pep pale Ethad anakua na say ya mwisho kuhusu recruitment na kwa sababu pesa ipo wala hilo haliumizi kichwa na ndio maana Pep hua mtata sana pale wachezaji wanaleta za kuleta kutofuata protocol maana wapo answerable kwake mpaka kwenda klabu nk...
Yaya Toure, Kompany, David Silva, Aguero ni baadhi tu ya wachezaji walioodelewa na Pep pale Manchester City wakiwa bado wanacha ku offer uwanjani lakini Pep alitaka ku stamp his authority ni wale wakiwa senior figures kuna namna ya ku deal nao na vitu hivyo ambavyo Pep dont give a shit yeye anataka supreme authority period...
YNWA
Karius baada ya ile final hajawahi kurecover psychologically, uko uturuki waligoma kumlipa mshahara karibu mwaka mzima 😂😂Kwani kipindi hiki si Klopp alikua ameajili mtalaam wa hayo mambo ya ku panic nk hahaha au lugha na Karius ilikua mtihani...
Sasa cha kujiuliza ndugu huyo huyo Karius baada ya pale kama kweli ilikua bad day in the office mbona amepotea timu hazimtaki aisee yaaani huyu Liverpool wanaona bora kuvuja mkataba nae maana bei ngumu kuuza imagine kutoka kucheza fainali UCL na kujikuta alivyo sasa...
Just one word for Karius ni OVERRATED.
He never recovered from that match kaka. Ila kuwa honest, what's your assessment of Karius kabla ya ile final?Kwani kipindi hiki si Klopp alikua ameajili mtalaam wa hayo mambo ya ku panic nk hahaha au lugha na Karius ilikua mtihani...
Sasa cha kujiuliza ndugu huyo huyo Karius baada ya pale kama kweli ilikua bad day in the office mbona amepotea timu hazimtaki aisee yaaani huyu Liverpool wanaona bora kuvuja mkataba nae maana bei ngumu kuuza imagine kutoka kucheza fainali UCL na kujikuta alivyo sasa...
Just one word for Karius ni OVERRATED.
YNWA
"Unaaribu nyumbani alafu unasema sore, we vipi bana" JCB - kijiti 🎵
Ebana nasikia Tuchel noma sanaaa....Na hiyo ndo inavyotakiwa, hata yule Rangnick wa utd anaonekana faru kwelikweli sizani Kama ronaldo atajaribu umachinoo pale.
Unaambiwa hata Tuchel nae ni gaidi kwelikweli akikuchukia utatamani ujifukie ardhini mwenyewe!@
Namkumbusha jamaa yangu top red Chaliifrancisco janga la ile fainali 😋😋😂😂😂😂😂😂😂👀👀..."Unaaribu nyumbani alafu unasema sore, we vipi bana" JCB - kijiti 🎵
To be honest we had a mediocre team back then kind of.. We had a leaking defence starting with the goolie he had no commanding presence in the back just watch how vocal is Allisson ujinga ujinga kwake haupo he shout, direct na very authoritative , weak MF bila HM wa kueleweka man...He never recovered from that match kaka. Ila kuwa honest, what's your assessment of Karius kabla ya ile final?
Poor lad i just feel for the boy...Karius baada ya ile final hajawahi kurecover psychologically, uko uturuki waligoma kumlipa mshahara karibu mwaka mzima 😂😂