United ni ugonjwa! Fergie yupo Kama kamungu flani hivi, heri yetu sisi. Klopp ni manager kabisa, ana mamlaka kamili japo anashirikiana na watu vizuri. Kuna clipp niliiona YouTube jamaa ni CEO waukweli hata baada ya Dortmund alikuwa akitumiwa na makampuni mbalimbali duniani yasiyo ya kisoccer Kama CEOMkuu Albaab binafsi kuhusu usajili bado naamini hawa makocha walio timu kubwa kama United na Liverpool huwa hawapewi mamlaka kamili ya nani aondoke na nani aje. Bado kunakuwa na ushawishi wa watu flani flani kwenye maamuzi yao nje ya uwanja. Tofauti na City,ni kama Mansour amemkabidhi Pep timu na pesa yeye amdai mataji tu.
Chukulia mfano mdogo tu wa ujio wa Ronaldo pale united,sidhani kama alisajiliwa kwa matakwa ya Ole lakini utafanyaje wao wanamtaka legend wao?
Kuna influence za kibiashara pia kwa nini mchezaji fulani aje hata kama kuna option zuri zaidi yake.
Ndio hapo tunarudi kwenye sula zima la mfumo, linahitaji aspects nyingi ziclick kwa pamoja ndo mambo yaende. Manager, recruitment, mmiliki, pesa, uelewano ukiwepo hapa huwezi kosa matajiHahaha huwezi kusema uweke jiwe tu mambo yaende. Barca ilikuwa na mfumo mzuri kuanzia La Masia. Naona kwa sasa hawana uwezo wa kuzalisha vipaji kutoka huko na hata usajili wao ni mbovu. Ndio maana wana struggle sasa. Unaona aina ya usajili wanaofanya.
Uko sahihi mkuu,lakini na bahati au tuseme upepo huwa unawabeba makocha.Anaweza kushindwa mkuu, mpira ni mfumo!
Miaka ya nyuma watu walikuwa wanasema barca hata ukiweka jiwe timu lazima ishinde, kilichokuja kutokea ni dhahama
Kama mdau mmoja hapa alivyosema majuzi hapa kwamba kushinda ligi ni wide team na UCL ni strong team, sawa lakini utd ni wide team ila epl wanaisikia tu kwa majirani. Bado kocha ana umuhimu wake.Lakini baada ya kuja Chelsea yule mhuni alikuwa hapitishi misimu 2 bila kombe la epl.
UCL ni case ingine kabisa ndio maana hata Pep weyu huyu hajawahi kulibeba sehemu nyingine yeyote mbali na Barcelona tena ya akina Messi,Xavi na Iniesta.
Sawa kabisa, huo unaouita upepo sio upepo kama ilivyo maana yake. Ni mfumo anaokuja nao kocha kwenye timu, sio kitu cha kufikirika ni practical thing typically. Kumbuka klopp alivyokuja maneno yake ya Kwanza aliyoyasemaUko sahihi mkuu,lakini na bahati au tuseme upepo huwa unawabeba makocha.
Unaweza kushangaa baada ya kizazi hiki cha akina De Bruyne,sIlva,Mahrez,Walker,Gundogan,etc City ika choke big time bila kujali kama Mansour ananyunyiza pesa pale au la.
Angalia Madrid hadi wanakuja kubeba la decima makocha wangapi walipita pale na walikuwa na top cream ya galacticos ila juventus ilikuwa inawapiga kama wamesimama.
True dat!Uko sahihi mkuu,lakini na bahati au tuseme upepo huwa unawabeba makocha.
Unaweza kushangaa baada ya kizazi hiki cha akina De Bruyne,sIlva,Mahrez,Walker,Gundogan,etc City ika choke big time bila kujali kama Mansour ananyunyiza pesa pale au la.
Angalia Madrid hadi wanakuja kubeba la decima makocha wangapi walipita pale na walikuwa na top cream ya galacticos ila juventus ilikuwa inawapiga kama wamesimama.
Hahaha miaka 2000+ kabla hawajaja Liverpool wale mabepari uchwara wawili Gillett na Hicks kulikua na fununu ya hii hii familia ya Waarabu wa Newcastle kununua hisa Liverpool hata sijui waliishia wapi aisee i wish wangetua maana mpaka sasa tungekua pazuri zaidi ya tulipo..Hahahaaah hii ndoto yako ikitimia ndugu yangu United watakufwa!
Kweli mkuu, Hawa wamarekani fikra zao zipo kibiashara tupu! Hawajali saana makombe. Ila sisi tuna afadhali maana kuna wamarekani wako apo Arsenal wamefanya mpaka watu waache kushabikia mpira maana hata wakihamia city kimamlukimamluki bado raho zinawauma kwa yanayojiri nyumbani na hii ni true story mzee πHahaha miaka 2000+ kabla hawajaja Liverpool wale mabepari uchwara wawili Gillett na Hicks kulikua na fununu ya hii hii familia ya Waarabu wa Newcastle kununua hisa Liverpool hata sijui waliishia wapi aisee i wish wangetua maana mpaka sasa tungekua pazuri zaidi ya tulipo..
FSG sio kwamba ndio worse owners hapana mbali policy yao y generate from within to spend ndio mgogoro especially kipindi hiki cha corona. Binafsi nilijua wangechukua advantage ya huu ugonjwa kusapoti Klopp kwa sababu bei za wachezaji especially unproven talents zimeshuka sana tofauti na kipindi corona haipo...
Bissouma kabla ya corona ilikua +50m na sasa ni Β£25m+.
Origi na Shaqir walitakiwa kwa pamoja ije Β£35m lakini hata Β£20m kwa pamoja ni ngumu kupata. Shaqir bila adds on aliodoka kwa around Β£8+.
Huu ndio wakati mwafaka kumpa Klopp kikosi cha kuchukua any trophy available..
Haha whats can i say if wishes were horses.........
YNWA
Mkuu Klopp alipewa hio Β£50m akatuletea Karius na kutuaminisha ni next Manuel Neuar majibu tuliyapata. Kwanza nakumbuka Klopp alivyoombiwa hata kabla ya fainali na Real Madrid 2017 2018 Uefa na Gary Neville kwamba akiwa na kipa Karius hatashinda kombe lolote sababu ni level ya chini ukawa ugomvi kabisaaaa lakini baada ya Bale kufanya yake mbona Klopp mwenyewe alinyanyua mikono na kusema hapa bring Allison tena kwa rekodi ya dunia kwa kipa kipindi kile..Yeah. Ndio maana nilitoa mfano apewe Everton tuone. Pep is yet to be exposed anapata sifa tu kwa kuwa ana team zenye pesa.
Sio kama Jurgen ambae yeye huwa anatengeneza players na kuwa world class. Klopp is the go to man hata kama una budget ya 50m pounds anaweza kufanya mambo within a short period of time say like 3 to 4 years.
Kuhusu Karius nadhani hata wewe kop unajua moja ya waliotufikisha final ile ni yeye (kulikuwa na rotation Karius CL na Mignolet PL). He did well until the final and he never recovered. So sidhani kama ile game moja yafaa ku judge kiwango chake wakati he did well kuanzia kwenye preliminary rounds mpaka alipokuja kuzingua kwenye mechi ya mwisho.Mkuu Klopp alipewa hio Β£50m akatuletea Karius na kutuaminisha ni next Manuel Neuar majibu tuliyapata. Kwanza nakumbuka Klopp alivyoombiwa hata kabla ya fainali na Real Madrid 2017 2018 Uefa na Gary Neville kwamba akiwa na kipa Karius hatashinda kombe lolote sababu ni level ya chini ukawa ugomvi kabisaaaa lakini baada ya Bale kufanya yake mbona Klopp mwenyewe alinyanyua mikono na kusema hapa bring Allison tena kwa rekodi ya dunia kwa kipa kipindi kile..
Bottom line unachanganya proven talent plus raw talent = Kloppβs Liverpool. Maanake VVD was proven talent to erupt but nobody could have predicted TAA na Robertson walivyo raw talent watakuja moto kama moto... Klopp kwa hili nampa big up sanaaa yaani anajua how to mix this squad even with bams kama Henderson kupata a proper challenging squad.
Bila Klopp tutateseka sana jamaaa.
YNWA
Sasa mkuu unaanzaje kuzingua fainali? fainali ndo inacount kila kituKuhusu Karius nadhani hata wewe kop unajua moja ya waliotufikisha final ile ni yeye (kulikuwa na rotation Karius CL na Mignolet PL). He did well until the final and he never recovered. So sidhani kama ile game moja yafaa ku judge kiwango chake wakati he did well kuanzia kwenye preliminary rounds mpaka alipokuja kuzingua kwenye mechi ya mwisho.
πππ kwa kweli wale mabepari wa Gunners ni mateso sanaaa. Stan Kroenke ni janga la dunia yaaani ndio huyu kabisaaaaaa bora hata Henry wa Liverpool.Kweli mkuu, Hawa wamarekani fikra zao zipo kibiashara tupu! Hawajali saana makombe. Ila sisi tuna afadhali maana kuna wamarekani wako apo Arsenal wamefanya mpaka watu waache kushabikia mpira maana hata wakihamia city kimamlukimamluki bado raho zinawauma kwa yanayojiri nyumbani na hii ni true story mzee π
Kila mtu ana bad day. Nadhani Karius alikuwa too anxious. Ni kama vile hakuwahi kucheza mechi ya muhimu sana kabla. Ile ilikuwa level ya juu sana kwake so ali panic angalia hata aina ya magoli utagundua alikuwa kwenye panic mode.Sasa mkuu unaanzaje kuzingua fainali? fainali ndo inacount kila kitu
Si ni baada ya lile vuguvugu la mashabiki 'kudai katiba mpya' π wakaona hili sasa kaa la motoπππ kwa kweli wale mabepari wa Gunners ni mateso sanaaa. Stan Kroenke ni janga la dunia yaaani ndio huyu kabisaaaaaa bora hata Henry wa Liverpool.
Sijui bwana Mikel na Edu wamefanikiwa wapi kuwa convince jamaa ateme mpunga angalau sasa recruitment yao msimu huu wamekuja vizuri sana. Nimeona kuna beki walimnunua kutoka Benfica kwa ela ndogo tu na sasa Pep anamtaka na Mikel hana noma kama Pep akifika bei anasema atamuuza na hio ela waede mazima kwa Fioretina kumchukua mkali wa magoli dogo Dusan Vlahovic.
YNWA
Na ile ilikuwa fundisho kwa makocha wote ππKila mtu ana bad day. Nadhani Karius alikuwa too anxious. Ni kama vile hakuwahi kucheza mechi ya muhimu sana kabla. Ile ilikuwa level ya juu sana kwake so ali panic angalia hata aina ya magoli utagundua alikuwa kwenye panic mode.
Tena alisema alipata concussion ndio maana mambo yakawa vile yaani...Kuhusu Karius nadhani hata wewe kop unajua moja ya waliotufikisha final ile ni yeye (kulikuwa na rotation Karius CL na Mignolet PL). He did well until the final and he never recovered. So sidhani kama ile game moja yafaa ku judge kiwango chake wakati he did well kuanzia kwenye preliminary rounds mpaka alipokuja kuzingua kwenye mechi ya mwisho.
Pia kuna yule shabiki wa Arsenal na ni taita fulani rafiki yao na akina Henry alitoa ofa ya Β£2b kuinunua Arsenal haha na akawa anapata sapoti kutoka kwa former players na mpaka sasa anasema ofa ipo juu ya meza waje ma Yankees wachukue waiache the Gunners lakini wamegoma kabisaaa...Si ni baada ya lile vuguvugu la mashabiki 'kudai katiba mpya' π wakaona hili sasa kaa la moto
Upo sahihi sio tu wachezaji pale Ethad Pep aliwachomoa jamaa zake wengi tu kwenye management kutoka Barcelona..Mkuu Albaab binafsi kuhusu usajili bado naamini hawa makocha walio timu kubwa kama United na Liverpool huwa hawapewi mamlaka kamili ya nani aondoke na nani aje. Bado kunakuwa na ushawishi wa watu flani flani kwenye maamuzi yao nje ya uwanja. Tofauti na City,ni kama Mansour amemkabidhi Pep timu na pesa yeye amdai mataji tu.
Chukulia mfano mdogo tu wa ujio wa Ronaldo pale united,sidhani kama alisajiliwa kwa matakwa ya Ole lakini utafanyaje wao wanamtaka legend wao?
Kuna influence za kibiashara pia kwa nini mchezaji fulani aje hata kama kuna option zuri zaidi yake.
Kwani kipindi hiki si Klopp alikua ameajili mtalaam wa hayo mambo ya ku panic nk hahaha au lugha na Karius ilikua mtihani...Kila mtu ana bad day. Nadhani Karius alikuwa too anxious. Ni kama vile hakuwahi kucheza mechi ya muhimu sana kabla. Ile ilikuwa level ya juu sana kwake so ali panic angalia hata aina ya magoli utagundua alikuwa kwenye panic mode.