Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kabisa ndugu binafsi niwadiss tu pale timu ipo kwenye nafasi bora kabisa ya kusonga mbele lakini tume stuck kwa kukosa kuingia sokoni wakati sahihi...Tushukuru hata hapa walipotufikisha, tulishapoteaga kwenye ramani kabisa mzee 2010/11-2013/14, 2015/16-2016/17 miaka sita hatujui uefa inafananaje
Im grateful for FSG
Hahaha kwa nini Pep atue Everton wakati huyu ni 5 🌟 Manager...Umesema kweli captain. But say tumpe Pep team kama Everton. How would he fare?
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, muulize Atonio Conte alichofanyiwa na mabosi wake Inter MilanHahaha kwa nini Pep atue Everton wakati huyu ni 5 🌟 Manager...
PSG, Juventus, Milans hao bila Corona mbona anakwenda...
Pep pale Ethad ametumia £918m kununua wachezaji sasa Ndugu Chaliifrancisco kweli hawa Everton mpunga kama huu watautoa wapi 😂😂😂😂😂yaani Mansour hatanii yaani yeye anachotaka ni kila kombe hana cha EPL wala Mickey Cups haha zote anazoa na uwezo anao nia anayo kwa nini sasa asifanye na kumpa sapoti kocha bora kabisa...
Tangu Klopp ametua Liverpool mpaka sasa yeye ametumia around £555,250,000 na kwenye hii sasa mauzo ya wachezaji tangu aje Klopp Liverpool ni £453,100,000. Kuna tofauti tu ya £102, 150,000.
YNWA
Conte anasema alidanganywa badala ya kupewa mpunga akaambiwa lazima auze wachezaji wake bora ku balance vitabu 😂😂kuuliza zaidi akaambiwa Steven Zhang hakuleta corona hivyo atulie jamaa akaona bora asepe zake..Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, muulize Atonio Conte alichofanyiwa na mabosi wake Inter Milan
Soccer ni business, kila mtu ana strategy zake.
Wafalme wa kiarabu ni exception, habari nyingine kabisa, wengine wanaona wanaharibu mpira maana hawafanyi biashara kwakuwa hawana shida ya hela. Lakini pamoja na yote hawana UCL trophy hata moja! si City si PSG hahahahaaah, money can't buy everything!
Hahahaaah hii ndoto yako ikitimia ndugu yangu United watakufwa!Conte anasema alidanganywa badala ya kupewa mpunga akaambiwa lazima auze wachezaji wake bora ku balance vitabu 😂😂kuuliza zaidi akaambiwa Steven Zhang hakuleta corona hivyo atulie jamaa akaona bora asepe zake..
Hivi hawa Waarabu wa Newcastle ambao nilisoma utajiri wao ni almost mara 10 ya Mansour wa Manchester City jamani si wangekuja tu hapa Anfield watuokoa na hii uncertainty ya FSG 🙆🏿🙆🏿😁😁...
YNWA
everton wana matumizi makubwa kuliko liverpool. Hatoweza kununua mchezaji wa paundi million 100 ila hatoshindwa kununua mchezaji wa paundi millioni 40 kila msimu. Baada ya miaka mitatu atakuwa ameshatengeza utambulisho wa kiuchezaji na hiyo ndio hatua muhimu ya kuanza nayo kwa kocha wa kileo kuliko kombe. Unafikiri ole hakupewa pesa ya kusajili na mbona mpaka anaondoka ameshindwa hata kuwa na identity sembuse kikombe, huyo kipara atatuadhibu mpaka tushike adabu zetu kwa sababu yupo sehemu inayomtimizia mahitaji yake bila ya khiyana na ukijumlisha ubora wake ndio balaa,Umesema kweli captain. But say tumpe Pep team kama Everton. How would he fare?
Mimi siji kumkubali Pep mpaka aje afundishe team ambayo hauna funancial muscle na aifanye kuwa bora. Naamini kuwa pesa inambeba.everton wana matumizi makubwa kuliko liverpool. Hatoweza kununua mchezaji wa paundi million 100 ila hatoshindwa kununua mchezaji wa paundi millioni 40 kila msimu. Baada ya miaka mitatu atakuwa ameshatengeza utambulisho wa kiuchezaji na hiyo ndio hatua muhimu ya kuanza nayo kwa kocha wa kileo kuliko kombe. Unafikiri ole hakupewa pesa ya kusajili na mbona mpaka anaondoka ameshindwa hata kuwa na identity sembuse kikombe, huyo kipara atatuadhibu mpaka tushike adabu zetu kwa sababu yupo sehemu inayomtimizia mahitaji yake bila ya khiyana na ukijumlisha ubora wake ndio balaa,
Mie pia nakuunga mkono hapo. At least world class first 11 peke yake halafu bench kuwe na wachezaji aina ya origi,ox,etc.I will give my hat off to Pep kama atafanikiwa kwenye team ambayo haina uwezo wa kuwa na world class squad.
Yeah. Ndio maana nilitoa mfano apewe Everton tuone. Pep is yet to be exposed anapata sifa tu kwa kuwa ana team zenye pesa.Mie pia nakuunga mkono hapo. At least world class first 11 peke yake halafu bench kuwe na wachezaji aina ya origi,ox,etc.
Pep ni mzuri ndio lakini hatujawahi kuuuona uhalisia wake upande mwingine (bila kikosi kikubwa cha wachezaji bora karibia 20).
Sure but Pep mimi siwezi kum-rate bado kwenye bracket ya watu wa calibre ya Klopp. Until he's exposed hakuna anaeweza kujua mapungufu yake.Chaliifrancisco na fuentte ni kweli pep anabebwa na mpunga lakini na yeye pia ameclick na huo mfumo wa hela, kuna makocha pamoja na pesa wanazopewa bado wanboronga. Pep ana style yake ya mpira na anaiamini vyema ndo maana hakusita kuwatimua mastar Kama Yaya na Etoo
Klopp ni design nyingine, ana charm ya hatari. Anaamsha popo mpaka marefa wanachanganyikiwa.
Anafanya mtu ufurahie mpira hata Kama pesa haipo
Anaweza kushindwa mkuu, mpira ni mfumo!Sure but Pep mimi siwezi kum-rate bado kwenye bracker ya watu wa calibre ya Klopp. Until he's exposed hakuna anaeweza kujua mapungufu yake.
Sidhani kama kuna kocha let's say mfano BR ukimpa Man City kweli atashindwa kushinda vikombe?
Mkuu Albaab binafsi kuhusu usajili bado naamini hawa makocha walio timu kubwa kama United na Liverpool huwa hawapewi mamlaka kamili ya nani aondoke na nani aje. Bado kunakuwa na ushawishi wa watu flani flani kwenye maamuzi yao nje ya uwanja. Tofauti na City,ni kama Mansour amemkabidhi Pep timu na pesa yeye amdai mataji tu.Chaliifrancisco na fuentte ni kweli pep anabebwa na mpunga lakini na yeye pia ameclick na huo mfumo wa hela, kuna makocha pamoja na pesa wanazopewa bado wanboronga. Pep ana style yake ya mpira na anaiamini vyema ndo maana hakusita kuwatimua mastar Kama Yaya na Etoo
Klopp ni design nyingine, ana charm ya hatari. Anaamsha popo mpaka marefa wanachanganyikiwa.
Anafanya mtu ufurahie mpira hata Kama pesa haipo
Hahaha huwezi kusema uweke jiwe tu mambo yaende. Barca ilikuwa na mfumo mzuri kuanzia La Masia. Naona kwa sasa hawana uwezo wa kuzalisha vipaji kutoka huko na hata usajili wao ni mbovu. Ndio maana wana struggle sasa. Unaona aina ya usajili wanaofanya.Anaweza kushindwa mkuu, mpira ni mfumo!
Miaka ya nyuma watu walikuwa wanasema barca hata ukiweka jiwe timu lazima ishinde, kilichokuja kutokea ni dhahama
Pia kwa kuongezea,jamaa haoni hasara kumuondoa mchezaji aliyemgharimia pesa kibao ilimradi hakufit kwenye mfumo wake. Tumeona case ya Bernardo Silva kama isingekuwa ku spark haraka jamaa alishaanza kumuweka sokoniYeah. Ndio maana nilitoa mfano apewe Everton tuone. Pep is yet to be exposed anapata sifa tu kwa kuwa ana team zenye pesa.
Sio kama Jurgen ambae yeye huwa anatengeneza players na kuwa world class. Klopp is the go to man hata kama una budget ya 50m pounds anaweza kufanya mambo within a short period of time say like 3 to 4 years.
Sure kaka. Pep mimi bado sita mrate mpaka apate team ambayo haina financial musclePia kwa kuongezea,jamaa haoni hasara kumuondoa mchezaji aliyemgharimia pesa kibao ilimradi hakufit kwenye mfumo wake. Tumeona case ya Bernardo Silva kama isingekuwa ku spark haraka jamaa alishaanza kumuweka sokoni
Lakini baada ya kuja Chelsea yule mhuni alikuwa hapitishi misimu 2 bila kombe la epl.Mourinho alishinda UCL na porto isiyo na hela kivile kulinganisha na wapinzani wake, akaja Chelsea akamwagiwa fedha na mrusi lakini wapi, akaenda real Madrid hola, akaja kuiotea inter. Kwaio mkuu fwedha sio kila kitu