😂😂😂😂😂😂Hahahaha ndio maombi yetu aise...Kabla ya kutuombea kupoteza game nyie mnauhakika wa kushinda zenu..
Kipara yupi unamzungumzia mkuu??Pale Pain Killer utashuka aisee...
Kipara alipo hana furaha maana anajua hatari kwake ni Liverpool na tupo na nyinyi mpaka kieleweke...
YNWA
Hiyo miujiza ya pep hatuioni UEFA Mbona hapo city.Kipara yupi unamzungumzia mkuu??
Kwa kile kikosi cha City na consistency ya Guardiola, kuna wa kumzuia??
Ndio na nyie mpo vzr, ila kikosi chenu siyo kipana kama cha City.
City have quality everywhere, siyo bench, siyo starting eleven.
NADHANI LEO CITY NDO KATANGAZA UBINGWA, UNLESS A MIRACLE HAPPENS
Uefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...Hiyo miujiza ya pep hatuioni UEFA Mbona hapo city.
Tukubaliane kwa wachezaji wa pep kwenye epl anasumbua sana. Imagine jurgen angekuwa city na kipara akabidhiwe hii Liverpool yenye ukame wa wachezaji.. Na mabosi mabahili..
Mkuu ndio ushaanza kula vyako taratibu na hizi vibe vya sikuku hahaha haya enjoi ndugu.. Be wise and smart kujilinda haha..Howzit kops?..
Mechi hii ya leo kiukweli nimeikosa kuna limshangazi limeniweka kwapani all the day.
Licha ya kuwa ni draw hebu basi tupeni analysis kuhusu mechi hii naskia ilikuwa tough sana mbele ya conte hanaga shughuli ndogo kabisa.
Na ushindi wa city naona kama kipara kapania asishushwe tena kenge huyu au sababu alicheza na wadhaifu Newcastle?
Captain Marvelous niaje brother?
Kwa nini? Utakuwa ujinga wa karne! Mpaka sasa hivi sijaona kosa la Jurgen!Klopp out sosha in
Kipara yupi unamzungumzia mkuu??
Kwa kile kikosi cha City na consistency ya Guardiola, kuna wa kumzuia??
Ndio na nyie mpo vzr, ila kikosi chenu siyo kipana kama cha City.
City have quality everywhere, siyo bench, siyo starting eleven.
NADHANI LEO CITY NDO KATANGAZA UBINGWA, UNLESS A MIRACLE HAPPENS
I believe in miracles man....Kipara yupi unamzungumzia mkuu??
Kwa kile kikosi cha City na consistency ya Guardiola, kuna wa kumzuia??
Ndio na nyie mpo vzr, ila kikosi chenu siyo kipana kama cha City.
City have quality everywhere, siyo bench, siyo starting eleven.
NADHANI LEO CITY NDO KATANGAZA UBINGWA, UNLESS A MIRACLE HAPPENS
Mkuu usihofu sana tunaishi mara moja tu acha vifanyio vigusane 😀Mkuu ndio ushaanza kula vyako taratibu na hizi vibe vya sikuku hahaha haya enjoi ndugu.. Be wise and smart kujilinda haha..
Umekosa proper game aisee japo tupo na kikosi dhaifu vijana wamejituma pa kutosha... Japo pia uzembe wetu na pasi za hovyo za vijana na kukosa kusoma mchezo vizuri zimewapa Spurs magoli yao mawili...
Ukicheza high line lazima ujue kuusoma mchezo vyema na kuelekezana vyema wapi panahitaji mchezaji nk kazi hii hua anaifanya Fabinho na VVD vyema sana..
High line defence bila wachezaji sahihi kama leo ni tatizo sana na leo hatukua na wachezaji sahihi...
Klopp angerisk kwa Gomez ambae ana speed kuliko Matip na Konate yaaani maana hawa wawili ni wazito na hiii highline wamekua outplayed bila Allison mbona tungepigika sana...
Hata hivyo leo VAR imekua kikwazo kutoa equal treatment kwetu...
YNWA
Sijakataa hilo mzeebabaUefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...
Wide and strong team win epl ,....but strong team can win CL
Guardiola huwa ana overthink kupitiliza kwenye hizo knock outs.Uefa ni game of chance mzee ,hata draw ya 1-1 inakutoa kwenye reli ...
Wide and strong team win epl ,....but strong team can win CL
Hakuna kitu Kama hichoGuardiola huwa ana overthink kupitiliza kwenye hizo knock outs.
Ile fainali na Chelsea, hana mtu wa kumlaumu!!
Yani umetoka kumtoa PSG with a very dominant performance..... WTF was he thinking kubadilisha set up.
Ata kipindi anatolewa na Lyon, ni overthinking zilimfikisha kulee
Shida ya klopp ni emotional guy alitakiwa awe very calculated likewise Pep Guardiolla,
Rajabu Omari nilimwambia pep is a perfect thinker, Afcon inawachukua outlets wawili Mane & Salah, Sasa Van dijk anacheza kwa nani tena zile Long press breaking passes? Hapo ndio Pep anapoCapitalize, No wonder why klopp anaenda kwa RaphinhaView attachment 2050287
Boss umesahau kilichotokea msimu uliopita kwa sababu squad depth??Mkuu point tatu raudi ya kwanza imeisha ni gap dogo sana labda kwa chelsea.
Unaongea kishabiki tu hata kipara mwenyewe anawafikiria Liverpool ndio watakao mpa changamoto.
Tungekuwa tumepitwa point 15 raundi ya kwanza ningesema sawa ila point 3 tu ,tunasifa zote za kuwa bingwa na kikosi kiko vizuri sana.
Hauta elewa saizi kwanini nakuambia hiyo .
Wengi wenu humu hamuelewi soka linavyoenda kama mashabiki wa chelsea wakiongoza ligi wasema wanachukua ubingwa saizi wamekimbia huku walikuwa kila wakati sisi tunachukua ubingwa,nikiwaambia hamna mchezaji wakuwapa ubingwa nyinyi hawataki sasa hivi wanaona Aibu.
Tukumbaliane hatuna kikosi cha kuwakimbiza Manchester City tunahitaji kabisa na bahati kama leo ili kua nao aisee maana hivi Spurs wamekosa aje yale magoli yao yaaani...
Kwa wale wenye imani na Keita kwa kweli pole zao. Nilidhani leo angeupiga mwingi sana kujisogeza angalau awe anaanza hata kikosi kikiwa full ila huyu ni wa benchi hakuna namna...
Milner umri kwa kweli umefika penyewe zile pasi zake nazi miss sanaaaa lakini ndio mwili unataka moyo unagoma...
Morton hahaha amateur kid kajitahidi aisee ugenini bila Fabinho na VVD kumwambia wapi awe makini nako yaaani...
YNWA
Naomba niweke msisitizo kwenye paragraph ya mwiso😅😅I believe in miracles man....
Upo sahihi tunakosaaa kabisa depth yaaani kikosi ndio kikwazo na pia quality ya hao waliopo ki ukweli ni Klopp brilliance tu ndio inatuweka tulipoooo...
In the meantime ndugu Pep ameshapigika tena na Crystal Palace msumu huu hivyoo sio kwamba ni fortress hapana anafungika aisee..
Cha msingi hapa ni kuhakikisha tunakua clinical as better as we can...
Kumkimbiza kipara sio kibarua rahisi tena kwa ma boss kama FSG mbona Klopp anajitahidi sanaaaa....
YNWA
Liverpool nguzo yake kubwa ni kuwin second ball thru Counterpress, kama huna Fab & Thiago hakuna mpira utachezwa hapo, nimeshangaa Spurs mbovu inapataje droo.
Tena walistahili kushinda ni utoto tu wamefanyaLiverpool nguzo yake kubwa ni kuwin second ball thru Counterpress, kama huna Fab & Thiago hakuna mpira utachezwa hapo, nimeshangaa Spurs mbovu inapataje droo.
Mpira ni mchezo wa many saves but 1 single relapse inakucost pointi... Na leo ndio limetokea hivyo.. Hatukufanya mamuuzi sahihi wakati sahihi aisee.. Timely runs hazikuwepo na kwa bahati mbaya mabeki hawaku react inavyotakiwa wakati sahihi.. Pale tulipopata goli la pili Klopp alitakiwa abadili mpira kwenda kwenye management ya kuzui ushindi wetu na pengine kuongoeza la pili lakini sasa kikosi kilikua hafifu na Spurs wakachukua hio advantage kutuumiza...Mkuu ukiachana na yote Allisson kazingua lile goli la pili anashindwa kuupiga ule mpira Kweli ?
Ila zile save zake nilikuwa namkumbuka taffareli tu kwamba amefanya kazi Nzuri.