Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kukosekana kwa wachezaji wetu muhimu kumeonesha udhaifu mkubwa kwenye kulinda
 
Hata hivyo Klopp amesawazisha kitu upande wa kushoto (Robbo side) ambako Spurs walikuwa wakitumia kusababisha mashambulizi.
 
hivi corona inapiga key players tuu ama nini, dharau za FSG za kutokusajili ndio tunaziona sasa leo, mechi crucial kama hii eti kiungo ni keita, milner na Morton, kule City hata wakigongwa Covid bado wana watu wa kuperform high level, kushinda leo labda kwa kudra tuu na jina
 
Huyu Refa leo yupo Nuetral haibebi Timu yoyote isipokuwa tu Uwezo wake wa kusimamia mchezo ni Mdogo.
 
Robbo anaingia ndani sana kuacha Wingi ya kulia ya Spurs ikiwa free muda wote
 
Leo mtashinda tu kama Totte wataendelea na huu utoto wao.

Kinyume cha hapo muhesabu maumivu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…