Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Leo tuna kibarua kigumu sana aisee...Timu lao bovu linaelekea kudraw na wolves
Tutashinda hata kwa mbinde.Leo tuna kibarua kigumu sana aisee...
Pale kati leo tuna pedestrian wawili Milner na Keita ki ukweli kutoka kifua mbele tunahitaji individual brilliance.
Morton anacheza nafasi ya Fabinho that a big call for the young boy..
Mother luck we need you big time.
YNWA
YnwaTutashinda hata kwa mbinde.
Yule kocha wa Wolverhampton Wanderers namwelewa sana ile timu kaisuka upyaaa...Mkuu kwenye game ya wolves nimeona hii 6-3-2.
Hapo mpaka upate goli labda uwe unaharakisha mpira bila hivyo sare au unafungwa.
Nadhani walikuja bila tahadhari.
Hiyo imekuwa mbadala kwa timu inayoshambulia sana
Game on...Losing silly and shocking passes...
Jotaaaaaaaaa
YNWA
Kwa namna yoyote lazima tushindeTonatoboa hii game. Hata kwa mchongo
[emoji108][emoji91]Ynwa