OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Tukimaliza mwaka huku tunaongoza ligi utapata.
Ehehehe umeona Chelsea tulivyo na matirio ya kutosha!? Muna Bei gani nyie? Wekeni mezani Β£75M ..sisi hatuna baya maana vijana ni wengi mnoo..Tufanye baishara haha
Ollachuga Oc nipe bei ya Connor Gallagher chap chap huyu dogo sio wa kawaida aisee...
YNWA
Hakuna jamaa anaefurahisha na kuchangamsha uzi kama ww [emoji23][emoji23][emoji23], yaan huwa unachekeza kweli na hoja zako.Ehehehe umeona Chelsea tulivyo na matirio ya kutosha!? Muna Bei gani nyie? Wekeni mezani Β£75M ..sisi hatuna baya maana vijana ni wengi mnoo..
Chelsea tuna zaidi ya vijana 2300 bara zima la ulaya.[emoji847][emoji847]
Wewe sindio ulisema hapo juu hautoki au Westham alivyo kukojoza mambo yakabadilika? [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu suala la nafasi lisikupe tabu ..maana arse8 Kila msimu anaanza wa Kwanza Ila mwishowe anapoteana. Kwa hii desemba imeisha? Sisi ni mabingwa tayari hapa tunakamilisha ratiba tu.
Sasa chagueni moja, msuke ama mynyoe ..Yani asa nyie livakuku tukikutana Tena wanabamiza bao za kutosha.
Wewe huyiogopi Chelsea,??
Chalii kwa Gallagher pale mna mtu. Ila isije kuwa ndio wale wachezaji wa mkopo tu. Ukimrudisha darajani anakuwa famba, ukipeleka loan anakuwa wa moto.Ehehehe umeona Chelsea tulivyo na matirio ya kutosha!? Muna Bei gani nyie? Wekeni mezani Β£75M ..sisi hatuna baya maana vijana ni wengi mnoo..
Chelsea tuna zaidi ya vijana 2300 bara zima la ulaya.π€π€
πππππππ2300 wachezaji au mashabiki wa Chelsea vijana...Ehehehe umeona Chelsea tulivyo na matirio ya kutosha!? Muna Bei gani nyie? Wekeni mezani Β£75M ..sisi hatuna baya maana vijana ni wengi mnoo..
Chelsea tuna zaidi ya vijana 2300 bara zima la ulaya.π€π€
Tuliogope Chelsea linaloporomoka kila siku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu suala la nafasi lisikupe tabu ..maana arse8 Kila msimu anaanza wa Kwanza Ila mwishowe anapoteana. Kwa hii desemba imeisha? Sisi ni mabingwa tayari hapa tunakamilisha ratiba tu.
Sasa chagueni moja, msuke ama mynyoe ..Yani asa nyie livakuku tukikutana Tena wanabamiza bao za kutosha.
Wewe huyiogopi Chelsea,??
Imekaa powa sana.Msimu huu hakutokuwa na mfumo wa magoli ya ugenini, kwa mfano tukitoa draw 1-1 Anfield na hawa IM, then tukarudiana kwao Italy tukadraw labda 3-3, hapa itakuwa dakika za nyongeza then penalties if necessary!
Chelsea ndo bai bai lazima apigwe na kitu kizito!! mtanikumbuka.....[emoji3]
Jumamosi tutawasiliana ndugu, inabidi game ya Tottenham zoezi liwe limekamilika.