Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,620
- 81,709
Huo uzi wa the blues ninachoweza kuufanyia ni kuuweka kama zulia la mlango wangu wakuingia chooni. ๐๐Achana na hii livakuku wewe๐๐ ..chukua uzi mkali kuliko wote, Uzi unakimbiza kwa uzuri na kwa ubora Uzi wa mabingwa wa Ulaya kwa misimu mitano ijayo mfululizo ..#TheBlues hakika hutojutia pesa yako kuvaa Brand kubwa Kama ya Chelsea.
#CFC๐๐๐
Kushika mkia wakati sisi mabingwa.Mmegawa vipigo wapi mkuu?
Litimu lenu linadraw na linazidi kuporomoka tu hadi litashika mkia.
Ukifanya ivyo utapata laana maana Chelsea ni timu iliyobarikiwa na ufalme wa Mungu.Huo uzi wa the blues ninachoweza kuufanyia ni kuuweka kama zulia la mlango wangu wakuingia chooni. ๐๐
Ollachuga Oc umeanza ramli asa unamtaja VVD wa nini yaaani yule mwamba abakie kama alivyo na tupo salama sana aisee bila yeye kweli hujakosea tutayumba...Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzee๐๐
Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May ๐๐
#CFC๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Huo uzi wa the blues ninachoweza kuufanyia ni kuuweka kama zulia la mlango wangu wakuingia chooni. [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kushika mkia wakati sisi mabingwa.
Kwanza timu pendwa na wadada ni Chelsea na Man United. Wewe imekuwaje ukaangukia huku? Huku ni kwa wazee na mafaza tu ..au wewe mmaza Nini mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na hii takataka karibu Chamani The Blues hakika hutojutia.
Yaani akiongeza nafasi ya upendeleo kwako inabidi aongeze na kwangu mtoto wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo [emoji23][emoji23].
I hope all is well kaka.
Mkianza ushindi wapi timu limeanza kutandikwa hadi mmeporomoka kama zigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzee[emoji3][emoji3]
Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May [emoji3][emoji3]
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Kama bahata ni yako basi anaweza kutokea mtu mwingine na ukaipata ofaYaani akiongeza nafasi ya upendeleo kwako inabidi aongeze na kwangu mtoto wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Don ametoa hii ofa muda nilioenda kulala...nilikuwepo humu jana nzima.
Roho imeniuma sana kuikosa.
Jana bahati haikuwa upande wangu.Kama bahata ni yako basi anaweza kutokea mtu mwingine na ukaipata ofa
Sisi kama liverpool tutamuoa huyo.Si mnasemaga mna kikosi kipana,Kumbe na nyinyi mnakikosi kimoja tu?.
Timu yenu pumzi imekata sasa hivi kila mechi mnarususu goli, hamna tena uhakika wa kushinda.
Majeruhi mlionao tatizo ni la nani? Acha kulialia mwanamke wewe.
Mkuu unaonaje ukashusha nondo ya huyu mwambaTufanye baishara haha
Ollachuga Oc nipe bei ya Connor Gallagher chap chap huyu dogo sio wa kawaida aisee...
YNWA
Mwamba anakamke kazuri sijui nitapata wapi namba zake nichepuke nae.
Baada ya kubondwa na westham nasikia ulikimbilia uzi wa battle kati ya Nairobi na Dar es salam huku hukuonekana kabisa labda MMU kwahyo saiv umerudi tena? Na mpo nafasi ya ngapi? [emoji1787][emoji23][emoji1787]Ukifanya ivyo utapata laana maana Chelsea ni timu iliyobarikiwa na ufalme wa Mungu.
Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo ๐๐.
I hope all is well kaka.
Nipo hapa mkuu
Idea nzuri na itaongeza morali katika ushabiki.
Mungu wa Mbinguni akubariki mno katika kazi zako[emoji120]
,Next time utoe ofa nyingi zaidi ili tupate ofa tuliokosa leo.
รipo Tanga mjini Mkuu
Usijali bro. Nazingua hata hivyo. I am glad that you are okay bro.All is well man.
Pole sana kwa kuikosa hii, tutatafuta namna.