Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe hiyo penalty uliyopewa mshukuru Mungu ,vinginevyo usingepata nguvu ya kuingia humu ndani [emoji28][emoji28][emoji28]

Aston Villa kawakamata kila angle..
Mechi umeangalia kweli??
Sasa kipindi cha pili walichomiliki mpira ndio tumewatandika goli sasa,you see!


Nyie wolves kawajambisha hadi mkabebwa na lipenalt.
Mlikuwa hamtoboi ukuta wa wolves nyie.
Sisi wolve tulimfunga goli clear kabisa la bila kubebwa bebwa kama nyie.
 
Ila huyu Jurgen ni habari nyingine aisee[emoji91]
Huyu baba ana hatari[emoji91][emoji91][emoji91]

2024 Steve anarudi tena nyumbani[emoji173]
 
Hello Family.

As we approach X - Mass, I would like to take this opportunity to thank you guys for keeping this forum (family) active, in one or more ways this thread, it's people (LFC Family) have been all to me, you guys are awesome.

There are times I almost lost it, but the theme You Will Never Walk Alone made the meaning, you all supported me in one or more ways to get to this, thank you guys.

NOTE: Nitatoa jezi tatu kwa members tofauti Xmass hii (jezi kwa bei za Kariakoo 25,000/- to 35,000/-), first come first serve basis. Unachotakiwa ni ku-quote hii post kwamba unahitaji jezi hiyo, watu wa tatu wa mwanzo ndo watakao pata. Tutajadili size na wahusika na
namna ya kufikiana.

Again, thank you guys.

YNWA
 
Mkuu nahitaji jezi hii

A true kop
Size XXL

 
Nahitaji jezi hii kop, size XXL, nipo Mwanza
 
Nam pia mkuu nahtaj hi jez

Size XL

NIPO DSM

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Japo nimechelewa ila naomba nifikirie nami Nipo Arusha navaa XXL
YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…