Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yes... uko sawa...

Mkuu swala la kuongoza ligi sisi sio washamba wakuongoza ligi ila tunaongea kuwakejeli chelsea maana wao kuongoza ligi wanaona kama Bahati,walikuwa wanapiga kelele humu tunaongoza ligi.

Mfano Arsenal akiongoza ligi watakuja kusema hapa kwamba wanaongozA ligi.


Kuongoza ligi sio muhimu sana maana hata Man U alishaongoza ligi saizi yuko wapi?
 
Sawa bhana naona na nyinyi mmeshangilia kuongoza ligi kwa dakika kadhaa saiv man city yupo kileleni.
 
Hey baby

Hey love
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…