Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Its not over until its over ukisikia priiiiiiiiiiTusubiri game nyingine tu hamna namna leo ndio imeisha hivyo.
Kocha wa wolves kumtoa Adama ilikua ni big mistake.Yani man utd yumesajiri teacher wanafunzi wameanza kutaftana hapo juu.
Wakapambane na hali zao.Kocha wa wolves kumtoa Adama ilikua ni big mistake.
Huyu jamaa angetua Liverpool angekua habari nyingine bado makocha wanamfundisha hawajajua kumtumia vyema aisee....Kocha wa wolves kumtoa Adama ilikua ni big mistake.
Daaaahhhhh Mjaluo ameokoa jahazi kweli.Bora ameingia atuokoe
Duuuu!! Naomba nitabirie lini ntakuwa tajiriHawa lazima tuwanyooshe kipindi cha pili.
Hhaiwezekani kabisa tutoke draw..
Jamaa fundi sanaaaa, ana nguvu, ana speed, anajua kucontrol mpira, anajua tackle za ufundi yaani jamaa anafit kila pembe.Huyu jamaa angetua Liverpool angekua habari nyingine bado makocha wanamfundisha hawajajua kumtumia vyema aisee....
YNWA
Kuongoza ligi kwa nusu saa, halafu mwenye kombe lake anakuja kukamatia usukani baada ya dakika 30.Tunaongoza ligi hahaha Ollachuga Oc na vijana wake upo uwezekano wakasahau kukaa pale juu tenaaaaa....
Origi the man for the big moments.
Tukumbushane matokeo ya leo
Chelsea 2[emoji106].. Westham 3[emoji1635]
Liverpool 1[emoji7].. Wolverhampton 0
YNWA
Muhimu kila mmoja ashinde mechi zake hapa yaaani...Kuongoza ligi kwa nusu saa, halafu mwenye kombe lake anakuja kukamatia usukani baada ya dakika 30.
Mpaka sasa hajasaini extension ngoja tuone kama kweli wataamua kumuuza..Jamaa fundi sanaaaa, ana nguvu, ana speed, anajua kucontrol mpira, anajua tackle za ufundi yaani jamaa anafit kila pembe.
Huyu akipata timu ya maana atasumbua sanaaaaaaa.