King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wivu sina ila roho inauma
Mkuu pale juu itakua ishu akikaa huyu kipara wa kutoka Catalan. Hawa jamaa sio watu wazuri aisee.Chelsea naona atalegea tu ,mpaka December mwisho atakuwa ameshaachia hapo juu.
Wanatimu ya kawaida tu kumbe,yale makosa tunayofanyaga sisi na wao kumbe wanayo.
Mkuu ninaona kuna tetesi za kumsajili baunsa kutoka wolves hivi ni kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu pale juu itakua ishu akikaa huyu kipara wa kutoka Catalan. Hawa jamaa sio watu wazuri aisee.
Klopp bado ana mtihani sana na baadhi ya wachezaji, kupoteza pasi maeneo ya hatari kwetu imekua ndio main weakness msimu huu. Konate, Henderson, Salah kwenye hili waongeze bidii.
Pale mbele nako pamoja na kufunga goli 4 palikua napo pamepwaya especially Jota alipata nafasi za kutosha umaliziaji ukawa kikwazo.
Depth ya kikosi imeanza kuleta ushindani haswa kwa vijana. Tsimikas amekua na wakati mwema sana kila akipangwa na hii imempelekea Robertson kuja ki vingine mechi ya juzi sio business as usual. Alitengeneza nafasi 4 za kufunga magoli. Ni amefanya hivyo mara ya kwanza msimu huu mechi ile.
Sasa kwenye mbio za ubingwa EPL msimu huu hakuna margin of error labda iwe very minimal.
Key focus ni game management ya Fabinho, Thiago, VVD na Jota. Hawa wakibaki salama tupo pazuri sana. Wanaleta balance kwenye timu na kufanya kila idara iwe top performance.
Chelsea naona kumkosa Ben ni dhahiri ni pigo.
YNWA
Mkuu pale juu itakua ishu akikaa huyu kipara wa kutoka Catalan. Hawa jamaa sio watu wazuri aisee.
Klopp bado ana mtihani sana na baadhi ya wachezaji, kupoteza pasi maeneo ya hatari kwetu imekua ndio main weakness msimu huu. Konate, Henderson, Salah kwenye hili waongeze bidii.
Pale mbele nako pamoja na kufunga goli 4 palikua napo pamepwaya especially Jota alipata nafasi za kutosha umaliziaji ukawa kikwazo.
Depth ya kikosi imeanza kuleta ushindani haswa kwa vijana. Tsimikas amekua na wakati mwema sana kila akipangwa na hii imempelekea Robertson kuja ki vingine mechi ya juzi sio business as usual. Alitengeneza nafasi 4 za kufunga magoli. Ni amefanya hivyo mara ya kwanza msimu huu mechi ile.
Sasa kwenye mbio za ubingwa EPL msimu huu hakuna margin of error labda iwe very minimal.
Key focus ni game management ya Fabinho, Thiago, VVD na Jota. Hawa wakibaki salama tupo pazuri sana. Wanaleta balance kwenye timu na kufanya kila idara iwe top performance.
Chelsea naona kumkosa Ben ni dhahiri ni pigo.
YNWA
Bwana wee huyu Mzee Kipara ndio tishio kwa wengine wote huo ndio ukweli.Kipara ndio tishio mkuu,anaanzaga vibaya tu ila ikifika December na January anakuwa yupo juu hapo,anauzoefu na ligi anaongozaga wakati unaotakiwa kuongoza ligi.
Baunsa kagoma kusaini mkataba mpya hivyo wanaona wapate chao mapema.. Maana kuzidi kusubiri anaporomoka bei.Mkuu ninaona kuna tetesi za kumsajili baunsa kutoka wolves hivi ni kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi tunalalamikia Majeruhi Rent Boys walihisi tunatafuta visingizio, hatimae yamewakuta wanaanza kumlilia Ben Chilwell mmoja tu wakati sisi tuliwapoteza karibu Timu nzima ikiwemo Mabeki wote na Midfielders wote.
Kuweka Rekodi sawa:
Chelsea v/s Liverpool - Sare
Chelsea v/s Man City - Kapigwa
Chelsea v/s Manure - Sare
Chelsea v/s Arsenal - Win
Huyu Tuchel kwa Timu kubwa uwezo wake ni mdogo sana! Round ya pili ajiandae kupoteza points 9 kwa Liverpool, Man City na Man United.
Na TT hamuogopi yeyote kati ya hao uliowataja, na hii ndio tofautiUmeandika kishabiki ila binafsi naamini kwenye title race Klopp anawaogopa City kuliko Chelsea .
Sio mbaya kujipa moyoChelsea naona atalegea tu ,mpaka December mwisho atakuwa ameshaachia hapo juu.
Wanatimu ya kawaida tu kumbe,yale makosa tunayofanyaga sisi na wao kumbe wanayo.
Nyie jifarijini Tu[emoji23]....km uwezo wake mdogo basi msihangaikie kina mane na Salah ili waende afcon hyo 2 JanuaryKuweka Rekodi sawa: