Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Sitabishana na wewe Tena ,heshima kwako mkuu ,shikamoooKama Onyango tu
Sitabishana na wewe Tena ,heshima kwako mkuu ,shikamoooKama Onyango tu
I love this man
Hizi ni habari njema.Anaenda kuwa kocha wa Aston villa wamempa mkataba wa miaka 2.5.







Kwamba Steve the great anaanza safari yake kuelekea viunga Kirkby kuwanoa wakali wa EPL...Edwards anaondoka
Gerrard kashatinga Uengereza
Klopp anamaliza Mkataba
Salah anamaliza Mkataba
Hapa patamu Ndugu
Naona kule senegal wamempiga sub Mané dakika ya 28 vipi ni injury au kuna nini?
Hawa wakina mane sio wazalendo kabisa ....."The Senegal Head Coach, Aliou Cissé, has said Sadio Mané's substitution was a precautionary move and that there's no serious injury".





