Natamani 2024 LFC Imchukue Gerrard
Natamani 2024 LFC Imchukue Gerrard
Natamani sana huo wakati ufike.Hata tusipo mchukua 2024,lazima ajekuwa kocha wa Liverpool, ni swala la muda tu.
Jamaa anajizolea tu tuzo

Jamaa anajizolea tu tuzo![]()
Hiyo mechi sikuangalia.Huyo kashindikana.mwache tu achukue.
Kachukua zote Safari hii goli bora na mchezaji Bora mwezi uliopita.
Goli bora aliwafunga man city.
Ngoja tuone kama ile amsha ya farmers league ataileta huku...Hata tusipo mchukua 2024,lazima ajekuwa kocha wa Liverpool, ni swala la muda tu.
Hiyo mechi sikuangalia.
Ilikuwa lini?
Ha ha ngoja tuone yetu macho
Watuletee Raphinah na Toney hiyoo January