Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aiseee ishu kuu ndio hapo kutengeneza timu nadhani ilitakiwa Ole wakati ana saini atoe time flame ya kuanza kuleta makombe Trafford.. Hii ya kuweka timu vilaka inakua short cut.. Bila time flame hakuna watakachoweza kushinda labda wabahatishe...

Ukweli ndio huo kusajili kwa mamilioni ela haikuhakishishi ushindi wa makombe ndio maana mpaka leo Manchester City anaota na UCL huku Catalan wakiwa hoi sana huku hawana makombe...

Klopp kwa kweli hapa Liverpool ni messiah.

YNWA
 
Nimependa speed ya OX aliyokuja nayo, kuna mipira akipewa anakuwa na speed sana wakati anauvuka mstari wa katikati yaani anawapa pressure timu pinzani.
Ni bora aendelee kuwa fit tuwe na depth ya kiasi, maana bundi msimu huu anatafuta pakuweka kiota na kashaanza kazi hiyo.

Hivi Keita anarudi lini ?
Huyu mwamba arudi(fab, hendo ,keita) palikuwa pameanza kunoga sana pale kati.

Tsimikas ni wakati wake huu dogo yuko na juhudi nzuri sana na kaanza kupunguza yale makosa ya mwanzo ya kupoteza mipira sana. Nategemea LB kuona rotation ya mara kwa mara kumpunguzia mizigo ROBO.

Nadhani ni wakati wa JOTA kutuonyesha uwezo wake wote alionao kupitia hii injury ya BOBBY.

HENDO bila FABINHO ni shit tu bado, hakuna chakufichaficha hapa.
Beki yetu inakuwa exposed sana pindi anapokosekana FAB3.
 

Ox kurudi Kitandani ni suala la muda tu
 
Hivi huyu Jack Wilshare kukosa timu ndio anajitoa kabisa uelewa au anajipigia dembe asajiliwa pale Westham..

Eti huyu dogo anasema Moyes yupo levo sawa na Supremo Klopp yaaani Moyes huyu huyu ama mwingine haya ngoja tuone kama dirisha ndogo Jack atasajiliwa na huyo Moyes...

YNWA
 
Anajikomba huyo

Sent from my SM-A310N0 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama Westham wagamsajili huyo. Kama akina Lanzini wenyewe kwenye panga pangua hawamo ndani huyo labda akisajiliwa aende kuwafulia akina Mark Noble viatu.
 
Sidhani kama Westham wagamsajili huyo. Kama akina Lanzini wenyewe kwenye panga pangua hawamo ndani huyo labda akisajiliwa aende kuwafulia akina Mark Noble viatu.
Hahaha Noble duuh huyu babu anashikilia rekodi kwa sasa kudumu kwenye klabu moja Europe akiwa yupo Westham Senior Team kwa miaka 16.

Hivi huyu Edwards kabla hajang'oka akamilishe mapema usajili wa dogo Jarred Bowen chap January 2022.

YNWA
 
It's Matchday.

COYR
YNWA
View attachment 2001896
Napita pita kwa pundits majuu naona wengine wanatarajia tupigwe ama sare..

Yaani ugenini msimu huu tuna jambo letu Moyes atulie tu maana hii gemu ni show stopper kabla ya break ya International hivyo tunahitaji kufikisha pointi 25 kwa kuangalia pia matokeo ya washindani inabidi tuwe kwenye mix...

YNWA
 
Hahaha Noble duuh huyu babu anashikilia rekodi kwa sasa kudumu kwenye klabu moja Europe akiwa yupo Westham Senior Team kwa miaka 16.

Hivi huyu Edwards kabla hajang'oka akamilishe mapema usajili wa dogo Jarred Bowen chap January 2022.

YNWA
Mimi waingereza bana nakuwaga na wasiwasi nao sana. Ila nimemuangalia Bowen naona ana kitu anaweza kutupa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…