Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,811
- 235,948
[emoji23]Hahaha ulimuona alivyozubaa El Choro aliesema hapendi hand shake aaafu akapigwa 2 safiiiii yaaani sijui alijiamini anakuja kushinda Anfield yaaani baada ya gemu alisimama pale hana cha kufanya mbali kutoa macho kama fundi saa huku ubao ukisoma Liverpool 2 Atletico Madrid 0...
YNWA
Game ilivyoisha tu Klop akaingia uwanjani kusabahi wachezaji akampotezea Diego, nadhani alilipiza kisasiHahaha ulimuona alivyozubaa El Choro aliesema hapendi hand shake aaafu akapigwa 2 safiiiii yaaani sijui alijiamini anakuja kushinda Anfield yaaani baada ya gemu alisimama pale hana cha kufanya mbali kutoa macho kama fundi saa huku ubao ukisoma Liverpool 2 Atletico Madrid 0...
YNWA
Vizuri sana kwa kuliona hilo mkuu na kuhusu mechi na Briton kweli kabisa sikusema ila haimaanishi kwamba nilipenda hapana mkuuMkuu mbona hujayesema hayo yote weekend iliyopita Baada ya mechi dhidi ya Brighton?
Mkuu tatizo la timu yetu kwa sasa ni kiungo pale kati,pale kati wakiwa Henderson na Fabinho ,mtu wa tatu hapo weka mtu yoyote yule hata wewe ingia hapo lazima tupate ushindi tu ushindi goli tunaanza 2 ,ikiwa hivyo hapo huwezi kulaumu beki wala kulaumu kipa,ndio kilichotokea kwa jana.
Mechi na Brighton tulicheza hovyo sana mido walikuwa ox,Jones na Henderson sasa kwa mido hiyo hapo mkabaji ni Henderson tu hao wengine ni mabingwa wa kupoteza mipira.
Kwa namna tulivyocheza jana kwa yule ambae hajaangalia mpira kwa sasa hakuna timu ya kuifunga
LIVERPOOL, ligi ambazo watakuwa wanapangwa hao watu Henderson na Fabinho natangaza rasmi liverpool tunabeba Epl na ucl msimu wa 2021/2022
Me nimeanza rasmi jana kuanza maandalizi ya kushangilia ubingwa wa ucl na Epl msimu huu wa 2021/2022.
Kwa namna timu zingine navyoziangaliaga zinavyocheza hakuna timu ya kumsumbua Liverpool kwa sasa,na ndio maana mpaka saizi hakuna timu uliyoweza kuchukua point tatu kwa Liverpool.
Mkuu sio legend mmoja wengi watakula hizo goli 5.
Mkuu nashukuru kwakuliona hilo Jana kama mimi .kama na wewe uliliona hilo inaonesha pia kuna ukweli ndani yake,hakuna timu ya kumsumbua Liverpool kwa sasa.
kuna muda nikawa nawaza timu nyingine ya kutusumbua ni ipi ? sijaona kwa sasa ulaya kwa huwezo ule na tuko siriaz sana Na ubingwa msimu huu.
Kwa sasa ucl hapo nani sijui atataka kukutana na sisi? Maana sasa hivi dozi yetu ya magoli tunaanza kuesabia goli 2 nakuendelea kila mechi mashindano yote.
😂😂😂😂😂😂😂Klopp anazarau sanaaa ajabu sasa aliwapa hug mpaka wachezaji wa El Choro huku Choro akiwa ameduwaa hahaha...Game ilivyoisha tu Klop akaingia uwanjani kusabahi wachezaji akampotezea Diego, nadhani alilipiza kisasi
Liverpool wakicheza kama unit basi hakika hakuna wa kutuzima kabisa yaaani ni ushindi tu na juzi tulicheza kama unit huku TAA akiwa fire sana kwenye ma assist...[emoji23]
Yaani ashinde nyumbani kwetu!
Ana wazimu huyo[emoji38].
Kwa kweli kikosi chetu kinafanya vizuri Mno hadi nafurahiii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo Kostas japo hana mbio kama Robbo lakini ni understudy wa ukweli sana...
Dogo Kostas japo hana mbio kama Robbo lakini ni understudy wa ukweli sana...
If am not mistaken hatujapoteza hata mechi moja huyu dogo akicheza LB...
YNWA
Tsimikas dogo yupo vizuri na kwa vile yupo msimu wa pili naona atakua ameelewa vyema Klopp way anachokitaka kwa LB wake, lakini pia kurejea kwa VVD upande wa kushoto umeimarika vyema sana... Kingine anaeshidana nae namba yupo vizuri sana hivyo inamlazimu na yeye ajitume zaidi kua bora. Huu ndio ushindani wa namba kikosini wenye afya kwamba hakuna kulegea ama kua weak link anavyocheza...Kweli kabisa mkuu hatujapoteza.
Nilichokiona kwa wachezaji wengi tatizo liko kwenye kujiamini. Mchezaji akijiamini tu.lazima afanye vizuri,na hapo ndio inakuwa mtihani.
Huyo dogo anajiamini sana haogopi mtu ,mtu yoyote anamuongelesha sio minamino mpaka aongeleshwe muda wote yupo kimya ajiamini Kabisa.
Klopp amekuwa muwazi asije akaalibu mambo robbo ,maana tunapenda sana kulinganisha hata kama hawafanani.
Endelea kudhaniOlewake Ole! Nadhani ni Rent Boys pekeyao ndiyo watakaokosa kujilia Uroda kwa Manure
Dakika ya 82 Cheltako 1 na Burnley 1,
Mapumbavu sana, yaje yachafue jukwaa letu tena yaone. Hadi jukwaa Lao wamelikimbia, wakati Sisi huku hata tufungwe hatupoteiFull time huko draw.
Rent boyz walikuwa wanapiga kelele saizi watakuwa wanaelewa nilichokuwa nawaambia.
Shida yao mpira wameanza kushabikia juzi tu hapa,hawaelewi chochote.
Endelea kudhani
Endelea kudhani
Mapumbavu sana, yaje yachafue jukwaa letu tena yaone. Hadi jukwaa Lao wamelikimbia, wakati Sisi huku hata tufungwe hatupotei
Kweli nimeamini choices has consequences hawa Manchester United walimsajili Ronaldo, Varane na Sancho immediately wakawa rated kwamba ni title contenders lakini matokeo yake wanarudi nyuma kimatokeo ni kama badala usajili ule uwaboreshe umekuja kuwavuruga kabisa yaaani...
Usajili ni kamali sometimes unaweza kufanikiwa sometimes unaweza kufeli so far dirisha la June 2021 halijawatedea haki hawa Manchester United na kwa utajili wa hawa Manchester United ni dhahiri hiki kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa kabisa yaani wanawachezaji wasiokua na consistency... Wanasubiri magic moment za Ronaldo awabebe yaaani...
Numbisa mna safari ndefu sana.. Pole sana.
YNWA