Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,119
Na Yanga ya FeisalLIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL
Nlichogundua kuhusu LIVERPOOL ni kwamba wachezaji wetu na benchi zima wapo kwenye ARI KUBWA msimu huu
Alafu pia kuna AMANI na FURAHA Pia kuna UMOJA tukiendelea hivi msimu huu kuna legend atafungwa tena 5 zingine nadhani hakuna timu yoyote ile Barani ULAYA ambayo inaweza kutukaribia UCL Wapinzani wetu ni Real Madrid na Hawa Mabaharia Wakijerumani Bayen Munich Hamna timu nyingine narudia tena kusema HAMNA TIMU Nyingine tena ambayo ina uwezo wa kutusimamisha labda sisi wenyewe tuwe wazembe ila kama mambo yatakwenda hivi tutegemee mazuri LIVERPOOL
He will be the best Liverpool player in a near future
CrapNa Yanga ya Feisal
Mkuu zumbemkuu ,nimecheka mpaka nimepaliwa na kahawa.Tangu upate uzee wa kanisa unadili na kwaya ya vijana tu, [emoji3]
[emoji41][emoji41][emoji23][emoji38]Crap
Tubaki njia kuu[emoji41][emoji41][emoji23][emoji38]
Hufahamu Jokes mkuuTubaki njia kuu
Haya ya matopolo yatanajisi jukwaa letu tukufu
Hizo jokes ngumu kumezaHufahamu Jokes mkuu
OkHizo jokes ngumu kumeza
Definitely Salah apewe mapema tumalize hii mambo...
Moyes and Viera doing a very decent job..
Salah should be getting this.. Yale magoli vs Citizens na vs Watford ni bora kabisa.
Ngoja wanaojifanya timu kubwa duniani waje wanaojiita wazee wa 2000's[emoji4][emoji5][emoji5][emoji5]...LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL
Nlichogundua kuhusu LIVERPOOL ni kwamba wachezaji wetu na benchi zima wapo kwenye ARI KUBWA msimu huu
Alafu pia kuna AMANI na FURAHA Pia kuna UMOJA tukiendelea hivi msimu huu kuna legend atafungwa tena 5 zingine nadhani hakuna timu yoyote ile Barani ULAYA ambayo inaweza kutukaribia UCL Wapinzani wetu ni Real Madrid na Hawa Mabaharia Wakijerumani Bayen Munich Hamna timu nyingine narudia tena kusema HAMNA TIMU Nyingine tena ambayo ina uwezo wa kutusimamisha labda sisi wenyewe tuwe wazembe ila kama mambo yatakwenda hivi tutegemee mazuri LIVERPOOL
Asante mkuu.Hey Saint Anne leo kuna gemu ya Uefa Champions league...
Mechi ni saa tano usiku huu pale Anfield tunawakaribisha Atletico Madrid.
YNWA