Nipigwe exile na nani nyie Kunguni?Acha chuki kwa Liverpool utakufa mapema maana naona unashinda kwenye jukwaa hili au kule Jukwaa la Cheltako umepigwa exile
Nipigwe exile na nani nyie Kunguni?
Timu yangu inafanya vizuri nakaa nadiscuss nini?
Tunakuja huku kwa Liverkuku....
Sisi hatuna gundu kama nyie... tukikaa juu tumekaa.
Liverpool worth now more than usd 2 billions.... haha sioni FSG wakiodoka hivi karibuni ndugu yaaani tunao sana tu hawa ma Yankees....Tutayumba sana siku klopp akiondoka- unless fsg nao waondoke
Nyie kuku mutapata tabu msimu huu Hadi mjambe cheche..🤣🤣Kwahiyo sisi ndo hatufanyi vizuri, ulitakiwa ukashinde majukwaa ya Arse8 na manyumbu utd nimeshakujuwa una chuki binafsi na liverpool
Loading Conte to Tottenham [emoji23][emoji23][emoji23]..
Epl gonna get better...
YNWA
Hahaha Mwenyekiti wa Spurs David Levy sasa anapata mwanaume wa Shoka hanaga utani huyu...Tayari uko kaisha tua,
Jamaa anaistoria akichukua timu katikati kama hivi kinachofata hapo ni kuchukua ubingwa tu .
Hendo needs a break… he is no longer young Kwa kupiga 10 consecutive games
Hendo needs a break… he is no longer young Kwa kupiga 10 consecutive games
Tunapoenda huko Saizi sio kuzuri Aisee,halafu hiyo Mido ni mbovu hijawahi kutokea.
Unbeaten run inaenda kuisha kwa mido hizo.
Ile mechi na Brighton nilikuwa nawaza sasa hapo nikimtoa ox au jones namuweka nani? Nikawa sina majibu.
Mechi na madrid hiyo tutafungwa pale anfield kwa mido hizo .na hata mechi na westham kwa mido hiyo tayari point tutapoteza
Na tutaanza kulaumu beki mbovu. Na wakati mido hizo hazikabi mipira yoyote.
Fabinho na Henderson wakiwepo kati hapo tunauwakika wa ushindi.