Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,919
Hili Mkuu ulishaliweka sawa kipimo chao ni Majogoo...Na ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sosha kaamua kucheza na akili za Mashabiki.
Kwa hali hii huyu jamaa hafukuzwi
Nuno kwa shinda zilizopo pale Spurs anaonekana ni amateur coach...Sosha kaamua kucheza na akili za Mashabiki.
Kwa hali hii huyu jamaa hafukuzwi
Ndio kumpiga mwenzie kibondia vile!Your wish would be granted... Its my pleasure...
Huyu CR7 ana wenge kuona EPL uflame wake umefifia sana tofauti na alivyotarajia maana kabla ya ya hii gemu yetu alisema ana uhakika wa kushinda makombe mengi tu pale Old Trafford matokeo yake akaambulia 4 kabla ya Half time sasa zile hasira ndio vile vikawa vikaoneakana laivu bila chenga...
Kingine any great player is jealous is of the next great player in the making thus hili la Salah wala usishangae na pia CR7 has been a serial winner for the past 15 years or so hivyo haya ya sasa ni mageni kwake hakujiadaa kabisa tangu yupo Juventus na sasa Manchester United.. He is a winner and winners hate losing like he is doing now...
YNWA
Sisi Liverpool huwa niwastaarabu sana sijui yenyewe yanakujaje kwenye uzi wetuNa ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
Hahaha bhana huo ndio ukweli walikuwepo akina Zizou, Gaucho, Platini, Nedved, Romario, Xavi, SG, Kaka, Maradona, Pele nk na leo imebaki historia... Kwa sasa atulie kwanza tupo kukazi zaidi hizi individual accolades tutajuana mwisho wa msimu nani nani...Ndio kumpiga mwenzie kibondia vile!
Lol, expectations zake ndizo zinazomuharibu kichwa.
Akubali tu zama zake zakaribia kuishia,, Kuna upcoming players walio better zaidi yake kwa Sasa.
Mechi ya leo sijaicheck,,nadhani nitaangalia Kesho marudio.
Sent using Jamii Forums mobile app
MsitufokeeeNa ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
Punguzeni makasiriko ππππHili Mkuu ulishaliweka sawa kipimo chao ni Majogoo...
YNWA
Tumepoteza ngapi wee mgangaπππLeo Rent Boys wanapoteza points
Wewe umeshinda ngapi mkuuππππLeo nimuonee huruma Arsenal! Natamani ashinde ili awe juu ya Manure
Eee kweli kweli Muna Jambo lenuπ€£π€£π€£Hawa Brighton ndio walitupiga hapa hapa nyumbani kufuta rekodi yetu ya kutofungwo mechi 68...
Tuna jambo letu.
YNWA
Mutabadili sentensi Hadi mkose maneno ya kuandikaππππKwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
Takataka utatuambia nini Sasaπππππ€£π€£Kabisa tuwaachie tu Mabingwa Chelsea hata tukiitwa takataka sawa tu. Maana performance tulio ionesha hakuna kitu hapo.