Huyu dogo nae sio wa kulaumiwa huu upande yupo Salah hana kawaida ya kusaidia lawama zaidi ziwe kwa kocha mifumo yake.sasa anapanga mawinga wawe viungo si kubahatisha hukoNi sahihi ila tukichunguza tatizo kiujumla, upande wa TAA umekuwa changamoto sana katika defence yetu. Fanya ufuatilie kwa makini mechi zijazo utaelewa ninachokinena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na mihemko tulia mlivapuu mwenzangu mpira una matokeo mengi sana...
Jamani eeee tuwasindikizeni tu Chelsea na man city kwenye ubingwa hatuna kitu hapo, yaani hizi team ndigo ndogo tunadraw tunaenda kutana na Westham away unafikiri nini kitatokea? Kwa low performance hii mimi nime give up.kwa beki hii hakuna ubingwa hapa, mechi vs bretford tuliongoza 3 zikarudi zote point 2 droped, vs City tulitupia 2 zikarudi , 2points droped, leo tena 2 zimerudi 2points droped jumla point 6 ambazo tulikua kwenye nafasi ya kuzibeba, timu haijui kukaba hii kabisa inawapa wapinzani mianya mingi sana ya kufunga ni wao tuu kukosa
Tatizo ndugu nyie mnamtegemea mfungaji mmoja, akigoma siku hiyo hamna points
Sisi mabeki wanafunga
Viungo wanafunga na forward wanafunga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiwe kipande ya tako....
Tatizo lipo wazi mkuu, udhaifu TAA kuzuia mashambulizi unaendelea kuiumiza timu. Klopp anapaswa abadilike, aidha ambalishie namba ama ampige benchi nafasi yake ichukuliwe na Joe Gomez.
Sent using Jamii Forums mobile app
Em tusilaum saana mara kocha mara wachezaji, kunakipindi tu mambo yanagoma aisee, vipi kile kikosi alicho panga JK zidi ya Man U? Tulikiseeeema ila kilileta matokeo, ndivyo ilivyo leo Tumeanguka tunyanyuke na kujipangusa kisha tusonge mbele.Huyu dogo nae sio wa kulaumiwa huu upande yupo Salah hana kawaida ya kusaidia lawama zaidi ziwe kwa kocha mifumo yake.sasa anapanga mawinga wawe viungo si kubahatisha huko
hii timu kuanzia katikati kurudi nyuma wote wanakabia macho na kuacha mianya ya kutosha, lallana leo aligeuka messi maana alikua hakabiki, tutasingizia kukosekana kwa fabinho lakini hata yeye akiwa timu inakabia macho tuu, walau thiago anaingia uvunguniGomez ndiye anayeongoza kwa kukabia Macho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gomez ndiye anayeongoza kwa kukabia Macho
Ile foul angecheza mchezaji wa Liverpool Trust me ingekua kadi nyekudu bila ubishi...Hivi hawa ni kwamba hasira ziliwabana sana?
Kama huyo CR7 wangempa tu kadi nyekundu,,alionyesha wazi kabisa amedhamiria kumpiga mwenzie,na alimpiga take za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi ila tukichunguza tatizo kiujumla, upande wa TAA umekuwa changamoto sana katika defence yetu. Fanya ufuatilie kwa makini mechi zijazo utaelewa ninachokinena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera jamaa yangu.Full Time Liverpool 2 vs Briton 2
Full time Man City 0 vs Cryastal pales 2
Full time Newcastle 0 vs Chelsea 3
Still we are unbeaten in all competitions. Wengine wana wanachanja mbuga wengine unbeaten
Chelsea forever
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Usituharibie uzi Mkuu.Jamani mashabiki wa Liverkuku... Huyu mwenzenu tayari siyo riziki.
Nimeshangaa Sana chuki za wazi za cr7 dhidi ya Salah,na bado akaachwa!Ile foul angecheza mchezaji wa Liverpool Trust me ingekua kadi nyekudu bila ubishi...
Refa alikua a bit soft na hawa jamaa wa Stretford ile mechi...
Japo siku hizi Manchester United have lost the edge kua na favour ya marefa lakini enzi ya Fergie hata ile ya Pogba ungeshangaa njano...
Hata hivyo hatuna noma sana ushindi ule ulifuta yote...
Japo mwisho wa msimu kama tutaukosa ubingwa kwa hizi sare na hizi timu za huku chini basi na ule ushindi utakua irrelevant kwetu..
Huwezi kuwa na historia ya kuchomolewa magoli kama hivi dhidi ya Brentford na hawa Brighton na kujihesabu unatafuta ushindi wa EPL hilo tusahau kabisa...
Tuna mechi bado na Westham, Everton, Southmpton na Leicester sasa unajiuliza kwa hawa nako tunadrop pointi...
Matip na udhaifu wake wote ni bora kuliko Konate na tukumbaliane Matip makes VVD better...
YNWA
Huyo dogo hayupo vizuri kichwani.Nimeshangaa Sana chuki za wazi za cr7 dhidi ya Salah,na bado akaachwa!
Mkuu naomba utakuwa unanitag huku kila tukiwa na mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rent Boys wakimaliza mechi yao hukimbilia kuja hapa?
You know why? Fanya Comparison kati ya Uzi wa Rent Boys na huu wa Liverpool.
Fanya Comparison kati ya Ukubwa wa Liverpool na Rent Boys.
Utajua kwanini wanaishia kuja hapa.
Huyo shabiki mwenzenu maandazi ndio anayewaharibia.