Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Its was a written on the wall duuh wanalipa mkwaja mrefu sana aisee maana mkataba ulisema asipomaliza misimu mitatu pale Catalan basi compensation yake iwe ya kueleweka.Naona tayari wameshamtimua
Ronaldo bora bila ubishi kihistoria lakini ukweli ni kwamba mechi 5 EPL wameshinda 1 kupigwa mechi 4 huku Ronaldo akiwemo. Je ndio uflame wake unaelekea ukingoni?Salah hajafika hata nusu ya ubora wa Ronaldo
Wametumia hela vibaya sana,walikuwa wanafanya masajiri ya siyo kuwa na maana,sasa wanataka klopp haende kuwasaidi.
Sasa barcelona itarudi ilipotoka,inakuwa timu ya kawaida.
Mafanikio yaliwachanganya wakawa wanatumia hela ovyo,usajiri kila kukicha.
Sasa hakuna anetaka kwenda barcelona.
Yote yanakuja baada ya kugundua simtank ni mtumishi hewa
Dembele majeruhiWalioifilisi Barcelona ni Usajili wa:-
1) Coutinho
2) Dembele
3) Griezman
4) De Jong
Pia Mshahara na Bonuses za kufa Mtu alizokuwa anapewa Messi kulazimishwa kubaki Barca.
sisi atutegemei mtu mmoja kama litimu lenu ilo bila salah amjui kucheza sisi ad kepa anafunga sasa endelea kuangalia anguko la mchezaj mmojammoja ss tukiwa tunakusanya point3 nyie kuku january mtaiona ngumu salah atapotimkia afcon[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bado wanakaza Fuvu kumpamba lakini wamesahau kuwa hata Moratta walikazana kumpamba baadae wakakubali matokeo.
Another real gem... Boy is taking notes from Fabinho.
Hakuna behind the scenes yoyote pale anfield, yani Klopp akiondoka liverpool kwa namna yoyote ile kabla ya mkataba wake kuisha bhasi na wale american yankees nao wafungashe virago. Maana Klopp anaipenda sana Liverpool na asha admitt mara nyingi, he's the fan and he want to stay with us for as long as he can.Kipara leo atanuna sana maana...
Chaliifrancisco hivi hawa Barcelona mbona kichefuchefu maana Raisi anadai hamfukuzi Koeman mpaka awe na uhakika wa kumpata Klopp au Xavi.
Sasa najiuliza Klopp yupo sokoni kusaka kazi mpya au anajiresi.. Je Klopp aliwai kua na mazungumzo nao ikitokea kazi apewe 1st refusal to sign ama huyu Laporte anacheza na akili za mashabiki na board yake.
Ngoja tuone hii ishu itakwenda aje...
Unless kuwe na behind the scenes pale Anfield sitegemei kuona hizi gossip zikiwa na ukweli wowote..
YNWA
Unaona aje hata siku akisema anahitaji kupumzika 2028 basi msaidizi wake Pep Lijinders achukue mikoba mazima... Nimekua nikimtazama sana na ni dhahiri huyu bwana ana sifa ya kua Meneja mzuri akipewa mazingira safi ya kufanya kazi..Hakuna behind the scenes yoyote pale anfield, yani Klopp akiondoka liverpool kwa namna yoyote ile kabla ya mkataba wake kuisha bhasi na wale american yankees nao wafungashe virago. Maana Klopp anaipenda sana Liverpool na asha admitt mara nyingi, he's the fan and he want to stay with us for as long as he can.
Kumbe mnamuogopa sana Salah? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sisi atutegemei mtu mmoja kama litimu lenu ilo bila salah amjui kucheza sisi ad kepa anafunga sasa endelea kuangalia anguko la mchezaj mmojammoja ss tukiwa tunakusanya point3 nyie kuku january mtaiona ngumu salah atapotimkia afcon[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1989444
Sent using motorola 78
Yupo kwenye Fani yako
☺️☺️☺️☺️