Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Kwahiyo TT kumbe ni kibuyu tu sio na una admit hapa?Hata Salah angekuwa Chelsea asingetupia hivi kama leo ..tatizo ni mfumo tu wa timu. Lukaku ni anajua kuliko hata salah ila hajapata kocha wa kumpangia kikosi cha kumchezesha. TT bado ana struggle kupata mfumo wa kumchezesha The Great Lukaku.
CFC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuwaga kama kipande cha tako hukubaligi ukweli
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
TT ni kocha bora hata Klopp ana mengi ya kujifunza pale.Kwahiyo TT kumbe ni kibuyu tu sio na una admit hapa?
Mimi najua TT ni kocha mzuri lakini anashindwa vipi kumtumia mchezaji aliemsajili mwenyewe? Au tumpe muda?TT ni kocha bora hata Klopp ana mengi ya kujifunza pale.
Ni kocha underrated sana na ndio anatumia nafasi vizuri aliyopata
Jogoo kawika...View attachment 1985957