Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Niliyajua hayo yote kwamba yatatokea.

Manure hao ni wabovu sana nililiona hilo na niliwaambia tunashinda kiulaini kabisa Leo.
 
Sorry piaAsante sana mkuu. Kuanzia leo umepanda cheo weka GIF zoote. Hii iwe trademark yako pia hasa humu wasikose uhondo wa magoli matamu kabisa

Usione hivi nachat daah kipigo cha leo kinaumaaa goli tano nyingi sana
Pole sana mdau,naelewa na napata hisia kwa hali unayopitia nasi kwa heshima yako tumekusamehe na kuamua kukutunzia trademake yako mpaka wakati mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…