Khaa sanamu kala suti nilijua ni yule doppelganger kumbe sanamu...
YNWA
Mane & Firmino jua linazama, wanahitaji replacement, Salah bado muda anao, kama mkivunja kibubu kumpata Chiesa moto utaendelezwa.Mane siku hizi amekua mfungaji zaidi... mambo za anao anao hana wala hataki.
Walau anafunga kuliko kukosa
Niko nacheza hapa PS Liverpool anaongoza goli 3 man utd 0 ....
Ni sanamu aisee...Me nilishindwa kuelewa kama kuna sanamu hapo,kila nikitafuta tofauti sijaona.
Baadae nikajua kumbe mmoja hapo ni sanamu maana hilo sanamu mpaka meno hayo ni vile kama mo salah.
Anajishusha kiwangoMane siku hizi amekua mfungaji zaidi... mambo za anao anao hana wala hataki.
Walau anafunga kuliko kukosa
Wametukosea sana salah kumpa 89 yaani hawa jamaa bhna [emoji23][emoji23][emoji174]
Mane hata umri umeenda, weusi umri wetu huwa tunapunguza 3-5 so u can imagine ana miaka mingap!Mane & Firmino jua linazama, wanahitaji replacement, Salah bado muda anao, kama mkivunja kibubu kumpata Chiesa moto utaendelezwa.
Cheki hili takataka, nyie msimu huu hata kombe la mbuzi hampati.Game rahisi kabisa ,united anapigwa goli 5 1HT tu ,mjishindwe tu nyie ....
heki hili
Ollachuga Oc katika ubora wako...Kesho Man united piga hizi takataka bao tatu maana defense yao ni uozo mtupu.
Tuna GD kubwa nyenyenyeeee.... Kiko wapi?View attachment 1984392
Mezeni wembe maana haya mambo ya goal difference nyie ndio mliyaanza...Hongereni kwa kuwa mabingwa wa Goal difference
Hii comment tutahifadhi tutakuja kukumbusha hapa mei mwakani alhamdulilahChelsea hawatachukua ubingwa..labda wamsajili Haaland January...