Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuhusu mechi vs Man united

Licha ya kuonekana wanaungaunga ila wanapokutana na sisi wanaibuka kusikojulikana kwa hiyo ushindi kwetu 40%, sare 30% kupoteza 30%

kuna huyu bwana mdogo Rashford, huwa anabahati sana na sisi , yani kakaa majeruhi ila mechi vs liverpool imekaribia tuu kashapona, beki yetu kama kawaida yake huyu dogo lazima atudhuru tuu, hivyo ushindi kwetu utategemea idadi ya magoli tutakayo funga, hii mechi haina droo ya zero zero
 
Acha uwoga wewe.
Game tunashinda hiyo mkuu.
Mark my words
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…