Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Mzee wa kupanchii upepo hewani kakutana na mhuni El cholo ...
Katulia Kama maji mtungini


Katulia Kama maji mtungini






Anatamba nini wakati yupo geto kwake na anahangaika kuchomoa?El cholo naona kama anaugomvi na Klop...amemwekea Klop baridi ghafla.
El Cholo anatamba huku Klop amejikumbatia kama amenyeshewa mvua.
Hapa nasubiri goli moja ya Dortmond na moja Sharrif then navuta 5milioni....hizi betting ni pressure tupu
El cholo anawamaliza huko ...!Salah anawaumiza eeh?
Alikuwa anakaba kwa macho aseeKeita got passed twice and twice Wanda has scored...
YNWA
Hana huo ubavu, wanaume wamemchomekea kwake anahangaika kuchomoaEl cholo anawamaliza huko ...!
Hatupo compact pale nyuma...Tatizo la Liverpool hawawezi kabisa kulinda goli.......inabidi mastriker wenu wafunge magoli zaidi ya tano kuendelea ili Mbaki salama.
Beki zenu zimekuwa tobo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hii timu beki ni takataka
Hatupo compact pale nyuma...
YNWA
Niliona Klopp anamfuatilia beki fulani Mbrazil jina Bremer yupo pale Torino na kwa namna ambavyo tunafungwo magoli tangu msimu umeanza sishangai kabisa...Alikuwa anakaba kwa macho asee
Tatizo lipo kati Firminho anaitwa shit player coz anakwepo sana kati kuziba mapungufuTatizo la Liverpool hawawezi kabisa kulinda goli.......inabidi mastriker wenu wafunge magoli zaidi ya tano kuendelea ili Mbaki salama.
Beki zenu zimekuwa tobo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asa Kanote wanini kaletwa dogo alikua anaishi vizuri tu hukoNiliona Klopp anamfuatilia beki fulani Mbrazil jina Bremer yupo pale Torino na kwa namna ambavyo tunafungwo magoli tangu msimu umeanza sishangai kabisa...
YNWA
Mkuu huo ni ujumbe kwa Matip na VVD sio kwa Kanote....Asa Kanote wanini kaletwa dogo alikua anaishi vizuri tu huko
Utajamba cheche!Wanaume 11 against wanaume 10 ...
Haya Sasa ...