Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Kabisa kabla hajaja Thomas pale Chelsea ilikua matokeo ni kama haya ya Ole yaaani hovyo ajabu sasa wachezaji wale wale jamaa anawatumia na wakashinda Champions League, Super Cup na kumaliza big 4..sasa kwa mfano Manchester United wakampata Conte na kikosi kile kile mbona utashangaa watakvyoamsha....Kuna jamaa yangu ni mshabiki wa man u lia lia amenitumia voice note jana ananiambia team ni kubwa kuliko kocha. Yani Man U wana wachezaji ila kocha hamna.
Guardiola akipewa hiyo timu huo uchafu wote anaufagiaBinafsi naona hapo Greenwood, Shaw, Sacho, Bissaka ni wachezaji wazuri ila sasa kupata uzuri wao kimatokeo kocha ajue namna ya kuwatumia...
YNWA
Fergie alikua kama Klopp unachanganya vipaji na wapambanaji na kupata uwiano cha kikosi...Guardiola akipewa hiyo timu huo uchafu wote anaufagia
ni kweli ila klopp mwenyewe kina benteke, sakho, Allen, Lucas, skrtel, lallana walimshinda, hao wachezaji wa Man u wengi ni overhyped sio kwamba wana uwezo mkubwa , pia hawana consistency mfano Pogba akicheza vizuri leo wanapiga kelele kweli kwamba ni best player ila kupata performance yake tena ni baada ya mechi 7 tena,. Alikwepo morinyo wakasema hajui kumtumia Pogba, kaja ole naye eti hajui kumtumia Pogba, huoni hapo tatizo ni wachezaji mfano PogbaFergie alikua kama Klopp unachanganya vipaji na wapambanaji na kupata uwiano cha kikosi...
Kuna wachezaji pia wapo Liverpool pale Ethad hawapati hio namba hata benchi lakini kwa Klopp wanakua wanajeshi wake..
Ingekua vipaji pekee ndio kigezo ndugu yangu naamini PSG na Citizens mapema wangeshachukua Champions League.
Manchester United naona wanashinda ya kocha kuliko wachezaji.
YNWA
Sure asee. Kwa ile team yao wakifunguka lazima tuwale kichuri mapema sana. Hiyo game tuta score more than 2 goals.Kabisa kabla hajaja Thomas pale Chelsea ilikua matokeo ni kama haya ya Ole yaaani hovyo ajabu sasa wachezaji wale wale jamaa anawatumia na wakashinda Champions League, Super Cup na kumaliza big 4..sasa kwa mfano Manchester United wakampata Conte na kikosi kile kile mbona utashangaa watakvyoamsha....
Kwa hali waliyo nayo tunakutana nao tarehe 24 Jumapili ijayo kwenye ligi pale Trafford sitarajii kingine zaidi ya pointi 3.
YNWA
Point taken upo sahihi mia kwa mia ishu kuu ni hawana consistency.ni kweli ila klopp mwenyewe kina benteke, sakho, Allen, Lucas, skrtel, lallana walimshinda, hao wachezaji wa Man u wengi ni overhyped sio kwamba wana uwezo mkubwa , pia hawana consistency mfano Pogba akicheza vizuri leo wanapiga kelele kweli kwamba ni best player ila kupata performance yake tena ni baada ya mechi 7 tena,. Alikwepo morinyo wakasema hajui kumtumia Pogba, kaja ole naye eti hajui kumtumia Pogba, huoni hapo tatizo ni wachezaji mfano Pogba
Bwana wee bila ukuta imara EPL kupasuka kupo kabisa ndugu. Na pale kwa sasa ukuta wao na mejeruhi unakua rotated na kusababisha magoli. Gemu ya Leicester Degea aliokoa mashuti nadhani 7 kati ya mashuti 11 ya hatari sana na magoli yote ilikua ni umbovu wa beki na si kingine.Sure asee. Kwa ile team yao wakifunguka lazima tuwale kichuri mapema sana. Hiyo game tuta score more than 2 goals.
Ox pengine tunahesabu siku zipo tetesi jamaa zangu DullyJr na Aaron Arsenal wanamtaka mchezaji wao arejee nyumbani.umetolea mfano citizen, uefa sawa hawajabeba ila ligi miaka mi nne wana makombe 3 na epl ilivyo na ushindani, hiyo ndiyo faida ya kuwa na wachezaji wazuri pia, sisi pia tumekwamishwa na wachezaji wabovu tukijiaminisha ni wazuri mfano Keita, Ox, nk
FSG ni habari nyingine aisee wanakwambia mishahara, kununua nk lazima iwe generated na cash kutoka klabuni na si vinginevyo...Hata Continho walitamani abaki ikashindikana
Mkuu hao Man U,kwa namna walivyocheza Jana nimeona Kabisa tunachukua point pale kiulaini sana maana ukutawetu sio wa kitoto na tunafunga sana,Man U kila mechi lazima aruhusu goli tu, yaani ni wabovu sana na wachezaji wake ni wavivu balaa maguire ukimkaba kwa nguvu unachukua mpira.
Lukaku ni striker tena wa box to box, Salah ni winga, wapi na wapi
Salah ni mzuri kwenye dribling, Lukaku hata kuutuliza mpira hawezi yeye ni kushuti tu na magoli yake yanapatikana hivyo na striker wengi pure namba 9 wako hivyo, hata Ronaldo Delima kapata umaarufu wa kufunga sana kwa staili hiyo hiyo ya Lukaku, anapikiwa yeye anafunga. Salah magoli yake anapika mwenyewe hasubiri ahudumuiwe kama Lukaku
Ni dhambi kubwa kumlinganisha Lukaku na Salah, labda tumlinganishe kwenye magoli na assists na anadhani Salah atawin, upepo mzuri uko kwake tangu atoke Chelsea
View attachment 1977535
Kane wa msimu huu tusubirie tuone