Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

True, naona msim huu naona bingwa ataamuliwa na mechi chache za mwisho au mwishon kabisa kama kila team ikiendea na performance zao hizi hizi walizonazo,
 
🗣️ Peter Drury on Mo Salah's goal:

"That's PlayStation football. That's ridiculous. You cannot do that without a joystick."

This man is a poet.
Peter Drury huyu jamaa bhana alizaliwa kutangaza mpira aisee what's a gentleman...

Peter Drury hua anatangaza na Jim Belglin ambae ndio usajili wa mwisho Liverpool alioufanya Liverpool legend manager Bob Paisley hivyo huyu ni home boy kabisa.. Jamaa wapo vizuri kiungazaji na hua hizi mechi kali wanapewa wao.

Long live Peter and Jim.

YNWA
 
Hamuna beki Tena na pale golini Alison ameshakuwa Shati[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki pembeni Allison kapwaya sana [emoji26][emoji26], ila na nyie mpunguze kupack bus kwani ni westham nyie? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
True, naona msim huu naona bingwa ataamuliwa na mechi chache za mwisho au mwishon kabisa kama kila team ikiendea na performance zao hizi hizi walizonazo,
Kabisa maana ukitazama ligi inavyokua na matokeo yasiyotabarika ni ishu nani angesema tunatoa sare na The Bees ki ufupi haya matokeo hua ni EPL tu ndio maana ndio ligi bora kabisa duniani..

Ubingwa bado sana mpaka mechi za mwishoni hapa sasa ni vijana wasepe International warejee salama bila majeraha mapya ili kuzidi kupambana. Uzuri tayari tushacheza na hawa Citizens na Les Blues na tumepata pointi 2 muhimu sana. Ukumbuke msimu huu bookies favourite wengi wamewapa Manchester City na Chelsea hivyo sie tuendelee kupambana gemu baada ya gemu tutakua salama.

YNWA
 
Kwa Hindi beki yenu inavyoruhusu mabao kizembe ni ngumu Sana kwa nyie kuwa mabingwa. Labda itokee performance ya city na Chelsea imeshuka. Lakini ukiwa Hivi Hivi hata man u anaweza kukuacha nyuma
 
Nyie mngekuwa na beki si mngekuwa na cleanshit za kutosha? Juve kawabaka, manshit kawagonga nyau nyie
Exactly, na wasipo jiangalia wataishia Europa wacheze na akina Arsenal kule [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mngekuwa na beki si mngekuwa na cleanshit za kutosha? Juve kawabaka, manshit kawagonga nyau nyie
Umedraw mechi tatu nyie kuku jumla ya point ulizopoteza ni 6 na umeruhusu bao 6. Na ligi bado ni ndefu ..kwa staili hii ikifika desemba utakuwa umeruhusu bao za kutosha tu.
 
Nahiyo shot off target walijitahidi mno alafu et kutoa kwetu draw wanafulahi ili washike nafasi sio yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
PSG leo hajapiga shot hata moja na kachezea kipigo mbele ya Renes Tena na clean sheat juu..
Wewe unashangaa ya city??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…