Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Milner ni beki wa hatari hajawahi tokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi Sina shida na magoli ,ila tunavocheza tu ,kudadekiii nasikia rahaaaaa[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mmeona mpira wa kitabuni ,kuku nyie ....
 
Hii gemu vijana ni kama hawapo kabisa yaani hatuna hata shot on target...

Babu Milner ndio miguu inamkataa na hii 4 3 3 kutegemea Milner huyu huyu awai kupeleka mashumbulizi ni kumtafutia kadi nyekudu huyu.

Hii half time ya Klopp itakua muhimu sana awape maelekezo yenye kuleta mbinu mbadala maana hizi za 1st half zimefeli.

YNWA
 
0 shot on Target..


Sio Chelsea tu hata kuku haziwezi kushot golini....
 
Na Daniel Agger.
 
Klopp ana kariri alipoona kikosi hiki cha Leo kilifanya vizuri kwa Porto akahisi kwa Man CTY itakuwa hivyo hivyo.
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…