Mkuu angalia husijepata headek ya kichwa kama malafyale. Kupitia huo utabiri wako hewa[emoji23][emoji23]
raha usipopewa nafasi huku nafasi unayo.Record Breakers Liverpool..
1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...
2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..
Mdogo mdogo tutafika.
YNWA
Hongera sana mkuu. Umeanza Ligi vizuri . Mwaka wako huuRecord Breakers Liverpool..
1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...
2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..
Mdogo mdogo tutafika.
YNWA
Tutachapwa ila wakati tumeshawakalia juu kwa juuHakuna headache hapa vichapo vinakuja too kwa Chelwowo
Tatizo lenu akiumia mchezaji mmoja wa kutegemewa mnayumba kweli kweliRecord Breakers Liverpool..
1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...
2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..
Mdogo mdogo tutafika.
YNWA
sio vs Crystal Palace... otherwise that is not a recordRecord Breakers Liverpool..
1st Record > Mane set a new record scoring nine a row vs Crystal Palace...
2nd Record > Kwa mara ya kwanza Wachezaji watatu kutoka Afrika wamefunga mechi katika moja Salah, Mane, Keita wote walitupia..
Mdogo mdogo tutafika.
YNWA
Tutachapwa ila wakati tumeshawakalia juu kwa juu
sio vs Crystal Palace... otherwise that is not a record
vs a single EPL team
Hilo Mkuu limeanza kuleta ishu maana kaumia kwanza Firmino, Elliott na sasa Thiago ki ifupi sio habari njema kwetu.Tatizo lenu akiumia mchezaji mmoja wa kutegemewa mnayumba kweli kweli
Ndio maana kapumzisha watu kibao. Na wajua klopp ha-Value Sana hivi vikombeHilo Mkuu limeanza kuleta ishu maana kaumia kwanza Firmino, Elliott na sasa Thiago ki ifupi sio habari njema kwetu.
Leo sitarajii kuona tena majeruhi mpya maana tuna mechi kali sana kuanzia sasa mpaka October mwishoni.
YNWA
Plan yetu ni mpaka tunafika January wakati Salah, Mane, Keith wanakwenda Afcon tuwe tumeshaja mbuga vya kutosha 😂😂😂😂😂😂....Hongera sana mkuu. Umeanza Ligi vizuri . Mwaka wako huu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Klopp anajua vikombe kwake ni EPL, UCL, Supercup, Club World Cup....Ndio maana kapumzisha watu kibao. Na wajua klopp ha-Value Sana hivi vikombe
Lakini ili iwe record haitajwi Crystal Palace nikurekebishe. Wote tunajua kuwa ni PalaceRekodi naijua ni vs Crystal Palace aisee kama kuna nyingine niambie.
Rekodi ipo hivi... Since August 2017, Liverpool have played against Crystal Palace nine times in the Premier League and in each match Mane has scored.
Amempita Robin Van Persie aliewafunga Stoke City goli 8 mechi 8 mfululizo.
YNWA
Asante madam1st goal. MinaminoView attachment 1947744
Kwani nyie hamkucheza na liver? Mlishinda ngapi?Nawashangaa kishenzi hawa kunguni.... Ngoja kwanza tumalizane na City halafu tuje kucheza na hivyo vitimu uchwara aone tutavifanya nn.