Halafu kuna watu wanataka SS3 waonyeshe game za Norwich wakati huo huo Liverpool inacheza???? waaache masihara kabisa. Hata ujio wa CR7 hauna athari sana kwa LiverpoolView attachment 1944100
Hahaha hate em like em but Liverpool games are the most viewed in Uk and the world at large even by the neutrals...
Klopp effect at its best...
More viewers means more revenue.
According to insights from global sponsorship, media valuation and data analysts Nielsen, Liverpool are currently the most-watched football team around the world.
In terms of popular team worldwide from UK bado Manchester United lead followed by Liverpool.
YNWA
Hahaha predictions so far ni kwamba Manchester United might reclaim the most watched games pale UK baada ya CR7 kutua anyway by end season haya yote tutajua maana with Liverpool playing this well as we are means we will be challenging for the top honours thus more viewers haha...Halafu kuna watu wanataka SS3 waonyeshe game za Norwich wakati huo huo Liverpool inacheza???? waaache masihara kabisa. Hata ujio wa CR7 hauna athari sana kwa Liverpool
Jana Mbezi Bar moja maarufu inaitwa KINGACHI tunaangalia mechi kipindi cha kwanza kiivyoisha kuna boya mmoja akapiga kelele kipindi cha pili ionyeshwe game ya Arsenal, wakabadili kweli wakaonyesha game ya Arsenal, dakika 10 nyingi viti vikabaki tupu, watu tulihamia 3ways [emoji3][emoji3]View attachment 1944100
Hahaha hate em like em but Liverpool games are the most viewed in Uk and the world at large even by the neutrals...
Klopp effect at its best...
More viewers means more revenue.
According to insights from global sponsorship, media valuation and data analysts Nielsen, Liverpool are currently the most-watched football team around the world.
In terms of popular team worldwide from UK bado Manchester United lead followed by Liverpool.
YNWA
Mkuu liver y rotation ipi? Hamna strong bench mnaweza mkaenda hv vizuri n consistency nzuri je mna wachezaji wa kureplace endapo watakosekana kina mane either Kwa injury, afcon ? N mbeleni huko Mashindano ndo yanashamiri y carabao, n FA......Duuh ndugu hivi hii Liverpool ya rotation unadhani utaiweza wapiiii....
Sie hatuna cha Mei 2022...tunachukulia mechi baada ya mechi.. Mechi zijazo ni kama ifuatavyo...
We take one game at a time. Hatutaki utabiri huu wa jumla...
Haya kazi kwako na Son alivyo motooo sioni wakumzuia pale.
YNWA
Tsimikas akipata game nyingi zaidi utakuja kuwa moto wa kuotea mbali aise.
VVD wa 2019/2020 naona anarud kwa kasi.
Acha kutuwaza...we muwaze spurs...Hii timu huu ndio ushindi wa mwisho, kinacho fuata hapo ni vipigo na draw za kutosha.
Too quick to judgeKonate kashika Ndani ya Boksi hapa lakini Refa kapeta.
Huyu jamaa (Konate) ni Lovren mweusi basi sijamuamini
ππππππYaaaani huyu Klopp kweli kaja na mkono wa baraka safi kabisa maana kwa sasa pia mashabiki wengi tumepata aisee...Jana Mbezi Bar moja maarufu inaitwa KINGACHI tunaangalia mechi kipindi cha kwanza kiivyoisha kuna boya mmoja akapiga kelele kipindi cha pili ionyeshwe game ya Arsenal, wakabadili kweli wakaonyesha game ya Arsenal, dakika 10 nyingi viti vikabaki tupu, watu tulihamia 3ways [emoji3][emoji3]
Bwana wee jana tu ki ukweli niliwaza zile turn on za Zaha kama Milner ataziweza wapi ki ufupi niliona tukipata madhara upande wa Milner.. Kumbe Salah is becoming all round Footballer maana hata defensive duties jana alisaidia sana so so impressed...Mkuu liver y rotation ipi? Hamna strong bench mnaweza mkaenda hv vizuri n consistency nzuri je mna wachezaji wa kureplace endapo watakosekana kina mane either Kwa injury, afcon ? N mbeleni huko Mashindano ndo yanashamiri y carabao, n FA......
Kuna Carabao vs Norwich wiki hii hopefully Phillips atakua dimbani apate real game time..I like the way Robertson is challenged with Tsimikas.We need this type of competition in almost every position on the pitch...I like both players,no one is yet my favourite between the two..
Kwenye central back still VVD has to play with either Matip/Konate/Gomez...Matip & VVD is good ...Konate &VVD did good yesterday...Matip & Gomez was not good in uefa opener..Gomez & VVD was also good partnership kabla hawajaumia.Hata Philips still anaweza kucheza vizuri tu na VVD ....So still VVD the main man at the back.Anapokosekana yeye, hata tukiwa na solid mid ya Thiago,Milner/Hendo na Fabinho bado backline itakuwa ina makosa mengi.
So far kwenye gem 5 tuna clean sheet 4,magoli 12 na tumefungwa 1...what a start.Na ninadhani tunacreate nafasi nyingi zaidi kuliko msimu uliopita.Our front three is doing better than last season.Wamefunga magoli 10 Kati ya 12 so far...Salah(4), Mane (3),Jota(2),Firmino(1).
Strength yetu nyingine ni our Goalkeeper Alison Becker.Ametoa mipira mwingi ambayo kwa kipa wa kawaida ingekuwa magoli.So far the man is at very good form.
Ngoja tusubiri tuone baada ya mechi 10 tutakuwa wapi....