Nimefuatilia sana, mechi za Liverpool huwa zipo 223. Fanya research yako utagundua. Hata zichwezwe mechi 5 kwa wakati mmoja ya Liverpool ni 223223 wanaonyesha mechi zenye watazamaji wengi, kwa leo mechi ya Liverpool na Crystal Palace ndio yenye watazamaji wengi
Nimekupata vizuri Mkuu.Kulikuwa na kama dk 2 za kucheck disallow goal. Alikuwa sahihi.
Agree sirNo draw with this bottom teams man otherwise we would be in a very tight spot with this season plans...
YNWA
Tupo kwenye maombi, apate mkataba wa miaka 20 mingineKwahy hatumlaumu tena kocha.?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naby lad.... that's a banger, a worldie.
Ila Keita bhna.. mmeona ushangiliaji wake [emoji23][emoji23]
Kifurushi cha 51000 sikiwezi nitaishia Family mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787], nawasha zang data nacheki boli.Nimefuatilia sana, mechi za Liverpool huwa zipo 223. Fanya research yako utagundua. Hata zichwezwe mechi 5 kwa wakati mmoja ya Liverpool ni 223
Kila mtu kwa urefu wa kamba yake MkuuKifurushi cha 51000 sikiwezi nitaishia Family mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787], nawasha zang data nacheki boli.
Dah! Ni kweli aiseeKila mtu kwa urefu wa kamba yake Mkuu
Ndiyo umuhimu wa kuvunja benki...tumeshinda ila daah tumekoswa balaa, enzi za makipa kina Mignolet, hii mechi ingeisha 3-3, Allison ni jini
Sababu ni hiyo hiyo niliyotoa, TV broadcaster wanajali sana watazamaji. Globally liverpool is one of the EPL team yenye watazamaji wengi tofauti na Man city iliyocheza leo na nadhani pia tofauti na Arsenal hata Chelsea, labda ni Man U tu ndio wamemzidi Liverpool kwa mashabiki globallyNimefuatilia sana, mechi za Liverpool huwa zipo 223. Fanya research yako utagundua. Hata zichwezwe mechi 5 kwa wakati mmoja ya Liverpool ni 223
Na je enzi za dudectumeshinda ila daah tumekoswa balaa, enzi za makipa kina Mignolet, hii mechi ingeisha 3-3, Allison ni jini
Hata kama Mkuu, Ikiwa inacheza Liverpool na Manchester united muda mmoja, mechy ya Liverpool itakuwaa 223 tu. Nimeishafuatilia sanaSababu ni hiyo hiyo niliyotoa, TV broadcaster wanajali sana watazamaji. Globally liverpool is one of the EPL team yenye watazamaji wengi tofauti na Man city iliyocheza leo na nadhani pia tofauti na Arsenal hata Chelsea, labda ni Man U tu ndio wamemzidi Liverpool kwa mashabiki globally
Bwana wee nilijua leo kumbe kesho...Kwani ni leo au kesho mkuu ..sisi yeyote aje tunampasua tu hakuna namna mkuu.
Mpaka sasa tunaongoza 2 bila hao walete kati tuwachape vibao..
CFC
Ngoja na sisi tufuatilie hasa ya ikicheza Man UHata kama Mkuu, Ikiwa inacheza Liverpool na Manchester united muda mmoja, mechy ya Liverpool itakuwaa 223 tu. Nimeishafuatilia sana
Ni muda wetu jamani kua Channel rasmi ya EPl 223...Hata kama Mkuu, Ikiwa inacheza Liverpool na Manchester united muda mmoja, mechy ya Liverpool itakuwaa 223 tu. Nimeishafuatilia sana