Ahsante sana. Sema sijachukulia kama serious business. Huwa naweka mkeka then napotezea naendlea na inshu zingine.Duuh kweli upo vzuri kwenye hio field haha full pro yaaani ...
Mwenzio haya mambo ya betting hua siyajui kabisa na sijawai weka bet kwa mhindi aisee..
Liverpool kwa sasa ukimuona VVD, Fabinho, Matip, Salah na Allison ndani wewe ujue ushindi ama sana sana sare ipoo...
Kwa kweli i wish you all the best.
YNWA
Hapo ndugu upo sawa isiwe mishe ya kudumu... kuna ma dogo hua nawaona kitaa full muda wote na mikeka mpaka wamekua kama wagonjwa fulani hivi...Ahsante sana. Sema sijachukulia kama serious business. Huwa naweka mkeka then napotezea naendlea na inshu zingine.
Huu ni mchezo wa kubahatisha nami nabahatisha tu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Boss kuna uzi wa WAKAMARIA ingependeza ungekuwa unaenda kule kupost mikeka.Hapana ya mwaka inaitwa ngumu kumeza.
Ya kila wiki ni tamu sana. Jana Basel kaninyoa nywele [emoji23][emoji23][emoji23]. Walishindwa kufikisha goli moja tu[emoji23][emoji23][emoji23]. Muhindi amekula 5k yangu Jana
Ningelamba leo 620k. Lakini ndiyo ivo mchezo wa kubahatisha[emoji23] next Liverpool akinipa ya mchango wa Harusi nakutumia ya Supu View attachment 1941415View attachment 1941416
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Well saidKlopp ana trust issues hilo liko wazi.
Hua naamini kikosi kinaanza kupangwa mazoezini hivyo sijui hawa wachezaji wasiopata nafasi mara kwa mara hua hawaonyeshi makali ya kutosha kuaminika na Kocha.
Ishu pia nafasi wakipata in real game hua tunaishia lawama za one game wonder kwa mfano Chamberlain, Keita, Origi hawana consistency ku deliver as we fans expect na as Klopp demands hilo ndio linawakwamisha. Dogo Jones ndio bado anasoma kwa wanaojua ipo siku atamiliki Right MF ni muda tu sababu kipaji kipo..
Klopp at times tunamlaumu bure aisee maana utasema lete Keita, Ox aafu wanawekwa tazama sasa unachopata tofauti kabisa na tunavyotarajia.
Na pia FSG policy yap inambana Klopp kua na benchi kama la Chelsea au Manchester City aisee. Hatuna namna wapambane tu.
YNWA
I fully concur with you on those 2 gaffers (Diego & Conte).B.... Take Klopp out bring Conte or El Cholo and we will rock n roll like the eighties....
C.. Konate is heir to VVD. On that department after last season miseries Klopp cant gamble. VVD aint getting any younger management of his playing time should be top class to get th best from him.
Let's be positive we are still a top class team when all the main guys are fit.
In Klopp and the Boys i trust.
YNWA
Wanajiita wazee wa kuweka mzigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee mwanzilishi wa uzi mwenyewe alichakazwa akapotea kwenye uzi mpaka sasa hajulikani alipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss kuna uzi wa WAKAMARIA ingependeza ungekuwa unaenda kule kupost mikeka.
Nb: usije ukaona nakuonea wivu ni ushauri tu.
El Cholo would be a proper replacement any day maana going for Steve would be a back ward step...I fully concur with you on those 2 gaffers (Diego & Conte).
Our best bet though could be Diego. With Conte, the FSG model won't suit him as this gaffer thrives on marquee signings which he'll never get at LFC.
There aren't many Klopps out there unfortunately... so I think when he leaves, the entire LFC fraternity (including you and me) should seriously start pushing for FSG to relinquish the club ownership to patrons whose financial clout at least matches that of the likes of Man City, PSG, etc.
As for Konate being our next VVD, I really hope the boy lives up to that hype. I really really do.
VVD is just quite unique to our team set up as it has been proven time and time again when he plays and when he doesn't.... so if we get a like-for-like replacement, that will be huge.
Labda ya playstation....the blues wapo dimbani keshoLeo Harry Kane na Son wana jambo lao.
YNWA
πππππKumbe kesho. Asante kwa taarifa sahihi.Labda ya playstation....the blues wapo dimbani kesho
Kariri hadi mvi zikukute, nimeongea facts au unataka data nikuletee makombe ya Chelsea tangu 2000Yah! Unazidi kuonesha Utoto
Hakuna pesa nyepesi duniani, unakula mara moja unaliwa mara 10.Wanajiita wazee wa kuweka mzigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee mwanzilishi wa uzi mwenyewe alichakazwa akapotea kwenye uzi mpaka sasa hajulikani alipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo hii Klope hafai πππ
Anyway, saa ngapi tunaanza kumlaumu kocha.?
Wamwaga maji sebureni TAA na Robbo wamechoshwa na UEFAKwahy muda wa kulaumu umekaribia eee
Muda huu Aisee... kutuwekea Milner RB πππππππππ....Leo hii Klope hafai πππ
Anyway, saa ngapi tunaanza kumlaumu kocha.?
Nimependa klopp rotation anazofanya kwa sasa. Sema badala ya kumwanzisha mzee milner angeanza Gomez.Sijajua kwa nini Matip hata bench hayupo. Injured au kapumzishwa tu?