Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,110
Hendo hafai kuwa mchezaji wa first eleven kitambo mbona na hili tumeliongea sana humuMimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.
Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.
- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.
Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:
1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
True hakukusudia ndio maana hata Klopp kasema he felt sorry for the boy...Ila ule mpira ulianza kugonga kwenye paja then ndio ukaenda kwenye mkono, as you know kwenye situation za vile huwez weka mikono yako nyuma
Sidhan kama pale james alikusidia
James is a cool boy too bad he couldn't do otherwise and i believe any player in that tricky situation angefanya vile vile..Mkuu ile kadi siilaumu that was direct Red card. Nakumbuka kuna gemu tulicheza na Arsenal tulimcharaza goli Sita. Chambalein alipush mpira iliyopigwa na Hazard ikatolewa red card kwa Gibbs. So that was directly Red card bila kipingamizi.
Mane ka drop sana, i dont know what happened to this dude.Mimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.
Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.
- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.
Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:
1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
Nilisikia Real Madrid wanamtaka jamaa.[emoji599] News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mane ka drop sana, i dont know what happened to this dude.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji599] News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic

Vp kuhusu Salah?Typical ya African Player anaibuka from nowhere na anapotea to nowhere
Safi sana Edward.[emoji599] News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kila chenye mwanzo kina mwisho[emoji599] News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji599] News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Bro unakumbuka nilikuambia Mane hawezi hata kujidribble...Mimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.
Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.
- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.
Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:
1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
Yes... wasipopata injuries za key players kwa muda mrefuNakuelewaga sana mkongwe. Hizi timu zifuatazo Chelsea, Liverpool, Man City plus man u atakae onesha kiwango kizuri adi January ndiye atakae beba ndoo may.
Ivi rafiki ako malyafyale mwenyekiti wa Liverpool halisi alipotelea wapi?
Inanikera kauli ya tumethirika na pandemic aisee siipendi ni ubahili wa FSGWe are not title contender..
Tunapigania top 4 ..basi
Inanikera kauli ya tumethirika na pandemic aisee siipendi ni ubahili wa FSG